Yemen yashambulia ndege vita ya USA na kuzamisha meli ya Uingereza!

high-end combat situations
Maana ake kwenye unit kimeshushwa kitu kimoja means vingine vipo
 
Wamezamisha meli ipi, tujuze!
 
Unaelewa nini ukiambiwa come to halt??
Hiyo meli imechakazwa halt maana yake ni terminate hivyo huwenda ni kweli imezama.
Soma link uliyoleta kwa ufasaha.
Hakuna meli iliyozama bwana acha uongo unataka waandike kizigua ndio uelewe. Bure kabisa.
 
Wanapigana kwa kumtanguliza Mungu mbele.Ushindi ni lazima.
Hiyo droni kwa haraka wanaifumua na kutuma vipuri maabara za Iran.Haichukui muda wanatoa za kwao kama hizo na kuchagua kombora munasibu za kuzitungulia pindi zikiendlelea kutumiwa na adui
hizbuLlaa kule ebanon wameonekana na aina ya kombora ambalo limewashangaza sana Israel.kwa sababu walijua wao peke yao ndio wanalo pamoja na washirika wao.
 
But sio jeshi la serikali ni waasi
Pengine haufahamu kua hawa Houthis ndani ya mwezi huu serikali za USA na Uingereza zimefanya mashambulizi kadhaa ndani ya Yemen na walijaribu kuunda umoja wa nchi kadhaa kwa ajili ya kupeleka meli vita kukabiliana na Houthi. Ni serikali inayotambulika inatawala Yemen na wamechukua nchi baada ya kupigana na Saudi Arabia na Emirates chini ya msaada wa USA walipojaribu Kuzuia vibaraka wa Magharibi wasiondolewe kwa miaka 9.
 
Reverse engineering. Kule Ukraine Urusi ana kazi ya kuchukua silaha za NATO/USA na kuwapa Iran wafanye maajabu yao,baada ya mwaka mmoja zitatolewa silaha hatari sana.

Mfano hapo Gaza Israel anapata tabu sana na RPG za Urusi ambazo zimefanyiwa modification na HAMAS,zinatwanga vifaru balaa ambavyo vya mabilioni ya hela,wanatumia pia kama sniper weapon
 
Mazayuni wanashangaa sio🤣🤣....siku haya mambo yakiisha pande zote zitakuwa zinajiuliza mara mbilimbili kutwangana tena ikiwa utatokea mgogoro miongoni mwao maana kila mtu atakuwa ana hofu na silaha za mwenzie....zipigwe mpk amani ipatikane...
 
Huyu jamaaa alivyo mpuuzi, unakuta anatumia ndege zilizotengenezwa na usa. 🇺🇸
Watakuja kumla kichwa tuuu, kama walivyomla kichwa Raisi wa Iran 🇮🇷
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…