Yemen yeigeuza meli ya Israel kuwa kivutio cha watalii

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

🇾🇪🇮🇱 The Yemenis have turned the captured Israeli ship into a tourist attraction

Visitors are seen dancing, smoking waterpipes, and chilling on the ship.
===============
🇾🇪🇮🇱 Wayemeni wamegeuza meli ya Israel iliyotekwa kuwa kivutio cha watalii.

Wageni wanaonekana wakicheza, wakivuta mabomba ya maji na kutulia kwenye meli.

Soma > Meli ya Israel yatekwa Yemen

Sema hawa watu wanataka populist tu hawana point, sawa na wale wa Afghanistan,

Vitu kama hivyo vinampa hasira adui yako mwisho upigwe kwa nguvu uanze kuomba msaada wa dunia,

Teka meli, toa injin yake kauze, upate pesa, ujenge chuo nchin mwako vijana wapate elimu kimya kimya bila kelele nying
 
Huku wenzao wanajaziwa maji chumvi kwenye mashimo
Screenshot_20231207-115936~2.png
 
Sema hawa watu wanataka populist tu hawana point, sawa na wale wa Afghanistan,

Vitu kama hivyo vinampa hasira adui yako mwisho upigwe kwa nguvu uanze kuomba msaada wa dunia,

Teka meli, toa injin yake kauze, upate pesa, ujenge chuo nchin mwako vijana wapate elimu kimya kimya bila kelele nying
Usiwapqngie cha kufanya wapangie familia yako😂
 
Wanaukumbi.

🇾🇪🇮🇱 The Yemenis have turned the captured Israeli ship into a tourist attraction

Visitors are seen dancing, smoking waterpipes, and chilling on the ship.
===============
🇾🇪🇮🇱 Wayemeni wamegeuza meli ya Israel iliyotekwa kuwa kivutio cha watalii.

Wageni wanaonekana wakicheza, wakivuta mabomba ya maji na kutulia kwenye meli.

Soma > Meli ya Israel yatekwa Yemen

View attachment 2835568
Muda mrefu uwa nashindwa kukuelewa kwamba akili zako zipo kweli au unatumiwa na magaidi, endeleeni kujitoa ufahamu wakati nguvu zenyewe ni sawa na za JWTZ
 
Wanaukumbi.

🇾🇪🇮🇱 The Yemenis have turned the captured Israeli ship into a tourist attraction

Visitors are seen dancing, smoking waterpipes, and chilling on the ship.
===============
🇾🇪🇮🇱 Wayemeni wamegeuza meli ya Israel iliyotekwa kuwa kivutio cha watalii.

Wageni wanaonekana wakicheza, wakivuta mabomba ya maji na kutulia kwenye meli.

Soma > Meli ya Israel yatekwa Yemen

View attachment 2835568
Ni jambo la muda endeleeni kuchezea simba wa yuda, saizi tunechoka ceasefire na vifo vya watoto huko gaza
 
Back
Top Bottom