Yemen yeigeuza meli ya Israel kuwa kivutio cha watalii

Wanaukumbi.

🇾🇪🇮🇱 The Yemenis have turned the captured Israeli ship into a tourist attraction

Visitors are seen dancing, smoking waterpipes, and chilling on the ship.
===============
🇾🇪🇮🇱 Wayemeni wamegeuza meli ya Israel iliyotekwa kuwa kivutio cha watalii.

Wageni wanaonekana wakicheza, wakivuta mabomba ya maji na kutulia kwenye meli.

Soma > Meli ya Israel yatekwa Yemen

View attachment 2835568
😀😀😀 Hawa kweli wanaume, wanapiga dance lile la kiyemen melini
 
Sema hawa watu wanataka populist tu hawana point, sawa na wale wa Afghanistan,

Vitu kama hivyo vinampa hasira adui yako mwisho upigwe kwa nguvu uanze kuomba msaada wa dunia,

Teka meli, toa injin yake kauze, upate pesa, ujenge chuo nchin mwako vijana wapate elimu kimya kimya bila kelele nying
Usiwapangie,, hata wakitaka kufugia kuku wewe haikuhusu
 
BREAKING:

🇾🇪 The Houthis have warned Saudi Arabia and the UAE

The Houthis have warned that if Saudi Arabia and the UAE try to attack Yemen again, they will launch missile and drone strikes on oil pipelines and wells in their territories.

The Houthis have already done this; they have the necessary means of destruction for this. Saudi Aramco infrastructure was especially hard hit.
 
Wanaukumbi.

🇾🇪🇮🇱 The Yemenis have turned the captured Israeli ship into a tourist attraction

Visitors are seen dancing, smoking waterpipes, and chilling on the ship.
===============
🇾🇪🇮🇱 Wayemeni wamegeuza meli ya Israel iliyotekwa kuwa kivutio cha watalii.

Wageni wanaonekana wakicheza, wakivuta mabomba ya maji na kutulia kwenye meli.

Soma > Meli ya Israel yatekwa Yemen

View attachment 2835568
Najiuliza, Israel inashindwa kuangusha bomu la a milioni kg-force kuzima kila kitu? uwe na akili
 
Naona Ustaazi umekuja kujifariji na habari za Yemen baada ya kipigo kukolea kwa mabwana zako Hamas kule Gaza [emoji16]
 
Wee mtu wewe "smoking waterpipes" SIYO "kuvuta mabomba ya maji" ni KUVUTA SHISHA.
 
Wanaukumbi.

🇾🇪🇮🇱 The Yemenis have turned the captured Israeli ship into a tourist attraction

Visitors are seen dancing, smoking waterpipes, and chilling on the ship.
===============
🇾🇪🇮🇱 Wayemeni wamegeuza meli ya Israel iliyotekwa kuwa kivutio cha watalii.

Wageni wanaonekana wakicheza, wakivuta mabomba ya maji na kutulia kwenye meli.

Soma > Meli ya Israel yatekwa Yemen

View attachment 2835568
Kumbe wanapanda na kucheza ile ngoma yao ndani ya meli.Safi sana.
 
Wanaukumbi.

🇾🇪🇮🇱 The Yemenis have turned the captured Israeli ship into a tourist attraction

Visitors are seen dancing, smoking waterpipes, and chilling on the ship.
===============
🇾🇪🇮🇱 Wayemeni wamegeuza meli ya Israel iliyotekwa kuwa kivutio cha watalii.

Wageni wanaonekana wakicheza, wakivuta mabomba ya maji na kutulia kwenye meli.

Soma > Meli ya Israel yatekwa Yemen

View attachment 2835568
Utakapofika wakati wa hao watu kugeuziwa kibao na Israel msije kulalamika.
Kumbuka: "Action and reaction are Equal but opposite in direction."

Mara baada ya like shambulizi la kigaidi kule Israel tarehe 7 Oktoba, 2023, Wapalestina na washirika wao walifurahi na kushangilia sana, lakini leo hii wanalia Kilio kikubwa sana cha Machozi, Jasho na Damu!
 
Utaka

Kibao gani zaidi ya kuuwa watoto na wagonjwa ndiyo maana huko Yemen kaomba msaada wa Nato na Japan.
 
Utakapofika wakati wa hao watu kugeuziwa kibao na Israel msije kulalamika.
Kumbuka: "Action and reaction are Equal but opposite in direction."

Mara baada ya like shambulizi la kigaidi kule Israel tarehe 7 Oktoba, 2023, Wapalestina na washirika wao walifurahi na kushangilia sana, lakini leo hii wanalia Kilio kikubwa sana cha Machozi, Jasho na Damu!
Hawa jamaa kama watoto. Mbona hawapo kivita .
 
Back
Top Bottom