Yemen yeigeuza meli ya Israel kuwa kivutio cha watalii

Hio meli ilikua inapeleka mzigo Israel wala so ya Israel acheni upotoshaji magaidi wa kiislamu
Kama hujui kitu bora ukae kimya unaleta ushabiki mandazi tu unadhani Wayemeni wanabahatisha?

Abraham Rami Ungar, Israeli businessman whose vessel was hijacked by Houthis​

Attachments

  • IMG_7631.jpeg
    IMG_7631.jpeg
    36.8 KB · Views: 3
Sema hawa watu wanataka populist tu hawana point, sawa na wale wa Afghanistan,

Vitu kama hivyo vinampa hasira adui yako mwisho upigwe kwa nguvu uanze kuomba msaada wa dunia,

Teka meli, toa injin yake kauze, upate pesa, ujenge chuo nchin mwako vijana wapate elimu kimya kimya bila kelele nying
Yemeni Ina vyanzo vingi kiuchumi.
Vita tu iliidumaza na usisahau km wamerudisha uhusiano na Saudia.
Yemeni sio km Afghanistan
 
Hio meli ilikua inapeleka mzigo Israel wala so ya Israel acheni upotoshaji magaidi wa kiislamu
Kwahio kama ulikua unaletewa mzigo wako hapo kwako na shemegi yako
Akaja jirani yako akaukwapua mzigo wako ulokua unakuja kwako
Unakua huna haki yakwenda kuuchukua mzigo wako
Israhell kowad sana
 
Ipo siku dunia itachoka kuwahurumia hawa magaidi, na wazungu na wayahudi na waafrika wataamua kulipa visasi kwa kutochagua raia wala wanajeshi kama magaidi wanavyofanya! Ndiyo watakapoanza kulia sheria hazifuatwi wkt wao hawafuati sheria za vita.
 
Wanaukumbi.

🇾🇪🇮🇱 The Yemenis have turned the captured Israeli ship into a tourist attraction

Visitors are seen dancing, smoking waterpipes, and chilling on the ship.
===============
🇾🇪🇮🇱 Wayemeni wamegeuza meli ya Israel iliyotekwa kuwa kivutio cha watalii.

Wageni wanaonekana wakicheza, wakivuta mabomba ya maji na kutulia kwenye meli.

Soma > Meli ya Israel yatekwa Yemen

View attachment 2835568
Duu hawa jamaa wakorofi sana!
 
Mkuu mbona mnatupanga...hata sisi waandishi wa habari na wasomi wa marine warfare
Ebu nitajie kampuni tanzu inayomiliki hii meli ya mzigo..
Kuanzia leseni ya biashara hadi flag authorization ya water licence...???
Je Israel govt wanamiliki chochote???
Na Japan govt ipo angle gani???
 
Ipo siku dunia itachoka kuwahurumia hawa magaidi, na wazungu na wayahudi na waafrika wataamua kulipa visasi kwa kutochagua raia wala wanajeshi kama magaidi wanavyofanya! Ndiyo watakapoanza kulia sheria hazifuatwi wkt wao hawafuati sheria za vita.
Tangu lini mkuu duniani vita vikafuata sheria???
NB: AS LONG AS KUNA UYAHUDI ULIOZAA UKRISTO NA UISLAMU ULIOKUJA BAADAE DUNIA ITAENDELEA KUGAWANYIKA.
 
Ipo siku dunia itachoka kuwahurumia hawa magaidi, na wazungu na wayahudi na waafrika wataamua kulipa visasi kwa kutochagua raia wala wanajeshi kama magaidi wanavyofanya! Ndiyo watakapoanza kulia sheria hazifuatwi wkt wao hawafuati sheria za vita.
Walichokifanya Hamas tarehe 07/10 ndicho exactly wanachokifanya Israel.Ni principle ya jino kwa jino.Hawa wanafuata sharia wenzao wanafuata sheria za Musa/Torati
 
Ipo siku dunia itachoka kuwahurumia hawa magaidi, na wazungu na wayahudi na waafrika wataamua kulipa visasi kwa kutochagua raia wala wanajeshi kama magaidi wanavyofanya! Ndiyo watakapoanza kulia sheria hazifuatwi wkt wao hawafuati sheria za vita.
Dunia ipi hio [emoji3]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa jamaa nikiwafikiria nabaki kucheka tu. Sasa au itakua wanakula miraa huko juu ya meli huku wakiangalia baharini kama kuna nyingine inakuja au.[emoji1787]
 
Mkuu mbona mnatupanga...hata sisi waandishi wa habari na wasomi wa marine warfare
Ebu nitajie kampuni tanzu inayomiliki hii meli ya mzigo..
Kuanzia leseni ya biashara hadi flag authorization ya water licence...???
Je Israel govt wanamiliki chochote???
Na Japan govt ipo angle gani???
Kampuni inayomiliki hiyo meli inaitwa Vehicle carrier Galaxy Leader, mmiliki wake ni Abraham "Rami" Ungar.
Serikali haihusiki na umiliki huenda unataka kuuliza kwa nini inashambiliwa wakati siyo mali ya serikali jibu ni kwa nini serikali ya Israel inapiga mabomu watoto wachanga kwani wao ni Hamas?
 
Back
Top Bottom