komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Documents zake zinamtambulisha kama Trump ? Sheria zao zinasemaje ?Kuna dada mmoja marekani anaitwa Teanna Trump mfatilie kazi zake ndio utajua ni kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Documents zake zinamtambulisha kama Trump ? Sheria zao zinasemaje ?Kuna dada mmoja marekani anaitwa Teanna Trump mfatilie kazi zake ndio utajua ni kawaida
Tumia jina la mtoto, mjukuu wa Mwinyi, Samia, Mkapa na ugundulike na mamlaka ndiyo utaelewa kama ni sahihi au sio sahihi kudandia majina ya watu/Viongozi wasiokuhusu.Hata ikiwa ni familia ya Nyerere sisi inatusaidia nini? akina Makongoro wanavuta sigara tu na pombe, Nyerere hakuwa malaika
Ni tumie jina la mtu kwamba mimi sina babu?Tumia jina la mtoto, mjukuu wa Mwinyi, Samia, Mkapa na ugundulike na mamlaka ndiyo utaelewa kama ni sahihi au sio sahihi kudandia majina ya watu/Viongozi wasiokuhusu.
Mbn wakina mwinyi na mkapa wapo wengi mitaaniTumia jina la mtoto, mjukuu wa Mwinyi, Samia, Mkapa na ugundulike na mamlaka ndiyo utaelewa kama ni sahihi au sio sahihi kudandia majina ya watu/Viongozi wasiokuhusu.