Yericko hama chama badala ya kuendelea kuwapinga wenzako ndani ya chama

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Ndugu Yericko wewe ni mwanasiasa makini ila kwa sasa hauko sawa. Kwanini unapambana na wenzako ndani ya chama badala ya kuhama kama kina Mrema?

Huu unafiki ulio nao ni wa hali ya juu mno. Posts zako nyingi ni against your own party. Kwanini unakata tawi ulilokalia?

Heche anakosea sana kutofukuza mapandikizi ya Mbowe yaliyobaki CHADEMA. Heche fukuza Yericko na Erythrocyte.

Kuwa na mtu kama Yericko ndani ya chama ni hatari ya kifo. Yericko fuata mwelekeo wa uongozi wenu mpya au hama chama. Kwenye demokrasia ni wengi wape.

Kama wengi wa wanaCHADEMA wameuchagua uongozi uliopo huna budi kukubaliana nao. Fuata wenzako CHAUMMA.
 
Mimi sio mwanasiasa, ila naomba kuuliza kosa la Erythrocyte ni lipi mpaka afukuzwe?
 
Ndugu Yericko wewe ni mwanasiasa makini ila kwa sasa hauko sawa. Kwanini unapambana na wenzako ndani ya chama badala ya kuhama kama kina Mrema?

Huu unafiki ulio nao ni wa hali ya juu mno. Posts zako nyingi ni against your own party. Kwanini unakata tawi ulilokalia?

Heche anakosea sana kutofukuza mapandikizi ya Mbowe yaliyobaki CHADEMA. Heche fukuza Yericko na Erythrocyte.

Kuwa na mtu kama Yericko ndani ya chama ni hatari ya kifo. Yericko fuata mwelekeo wa uongozi wenu mpya au hama chama. Kwenye demokrasia ni wengi wape.

Kama wengi wa wanaCHADEMA wameuchagua uongozi uliopo huna budi kukubaliana nao. Fuata wenzako CHAUMMA.
Mnafik anafanya vitu kwa kujificha. Utasemajje kuwa Yericko ni mnafik wakati anasema waziwazi nini maoni yake?

Heche ametambua makosa waliyofanya ya kuwatenga na kuwanyanyasa wale wote waliokuwa na mawazo tofauti na wao. Inabidi avumilie criticisms za Yericko ili aonekane sio dikteta uchwara.

Amandla...
 
Erythrocyte yeye yuko sawa! Changamoto ni Yericko hayuko flexible
Hata mimi nimeomba kujulishwa kosa la Erythrocyte mpaka mtoa mada ashauri afukuzwe lakini sijapewa jibu.

Huenda ana ugomvi binafsi na Erythrocyte, huyo Yericko kamuweka kama chambo tu kuhalalisha alichoandika.
 
Yericko huyu sio chadema tena ni kivuli tu kipo chadema, huyu alikua na matumaini asilimia 100 Mbowe kushinda, that's kimbelembele kile ila ndo hivyo
 
Back
Top Bottom