residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Engineer wa "kupanda bamia" kule Mbutu labda.Yule ni engineer

Huyo ataondoka si muda.wenzake wote wametangulia.Ndugu Yericko wewe ni mwanasiasa makini ila kwa sasa hauko sawa. Kwanini unapambana na wenzako ndani ya chama badala ya kuhama kama kina Mrema?
Huu unafiki ulio nao ni wa hali ya juu mno. Posts zako nyingi ni against your own party. Kwanini unakata tawi ulilokalia?
Heche anakosea sana kutofukuza mapandikizi ya Mbowe yaliyobaki CHADEMA. Heche fukuza Yericko na Erythrocyte.
Kuwa na mtu kama Yericko ndani ya chama ni hatari ya kifo. Yericko fuata mwelekeo wa uongozi wenu mpya au hama chama. Kwenye demokrasia ni wengi wape.
Kama wengi wa wanaCHADEMA wameuchagua uongozi uliopo huna budi kukubaliana nao. Fuata wenzako CHAUMMA.
Erythrocyte nae afukuzwe kutoka kwenye chama?, mbona ni chawa mtiifu sana?.Ndugu Yericko wewe ni mwanasiasa makini ila kwa sasa hauko sawa. Kwanini unapambana na wenzako ndani ya chama badala ya kuhama kama kina Mrema?
Huu unafiki ulio nao ni wa hali ya juu mno. Posts zako nyingi ni against your own party. Kwanini unakata tawi ulilokalia?
Heche anakosea sana kutofukuza mapandikizi ya Mbowe yaliyobaki CHADEMA. Heche fukuza Yericko na Erythrocyte.
Kuwa na mtu kama Yericko ndani ya chama ni hatari ya kifo. Yericko fuata mwelekeo wa uongozi wenu mpya au hama chama. Kwenye demokrasia ni wengi wape.
Kama wengi wa wanaCHADEMA wameuchagua uongozi uliopo huna budi kukubaliana nao. Fuata wenzako CHAUMMA.
YametimiaNdugu Yericko wewe ni mwanasiasa makini ila kwa sasa hauko sawa. Kwanini unapambana na wenzako ndani ya chama badala ya kuhama kama kina Mrema?