MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Yule ni engineerAjitahidi aongeze Elimu kwanza tofauti na hapo ataendelea kuwa chawa.
Yule ni engineer
Alisomea wapi huo uinjiniaYule ni engineer
SijuiAlisomea wapi huo uinjinia
Fundi mchundoYule ni engineer
Amesomea chuo gani huyo chawa wa Mbowe?Yule ni engineer
Engineer wa makaratasi na nyetiYule ni engineer
Mimi sio mwanasiasa, ila naomba kuuliza kosa la Erythrocyte ni lipi mpaka afukuzwe?Ndugu Yericko wewe ni mwanasiasa makini ila kwa sasa hauko sawa. Kwanini unapambana na wenzako ndani ya chama badala ya kuhama kama kina Mrema?
Huu unafiki ulio nao ni wa hali ya juu mno. Posts zako nyingi ni against your own party. Kwanini unakata tawi ulilokalia?
Heche anakosea sana kutofukuza mapandikizi ya Mbowe yaliyobaki CHADEMA. Heche fukuza Yericko na Erythrocyte.
Kuwa na mtu kama Yericko ndani ya chama ni hatari ya kifo. Yericko fuata mwelekeo wa uongozi wenu mpya au hama chama. Kwenye demokrasia ni wengi wape.
Kama wengi wa wanaCHADEMA wameuchagua uongozi uliopo huna budi kukubaliana nao. Fuata wenzako CHAUMMA.
Engineer wa elimu ya hapa na pale 🤣🤣🤣Yule ni engineer
Ni pandikizi la MboweMimi sio mwanasiasa, ila naomba kuuliza kosa la Erythrocyte ni lipi mpaka afukuzwe?
Mnafik anafanya vitu kwa kujificha. Utasemajje kuwa Yericko ni mnafik wakati anasema waziwazi nini maoni yake?Ndugu Yericko wewe ni mwanasiasa makini ila kwa sasa hauko sawa. Kwanini unapambana na wenzako ndani ya chama badala ya kuhama kama kina Mrema?
Huu unafiki ulio nao ni wa hali ya juu mno. Posts zako nyingi ni against your own party. Kwanini unakata tawi ulilokalia?
Heche anakosea sana kutofukuza mapandikizi ya Mbowe yaliyobaki CHADEMA. Heche fukuza Yericko na Erythrocyte.
Kuwa na mtu kama Yericko ndani ya chama ni hatari ya kifo. Yericko fuata mwelekeo wa uongozi wenu mpya au hama chama. Kwenye demokrasia ni wengi wape.
Kama wengi wa wanaCHADEMA wameuchagua uongozi uliopo huna budi kukubaliana nao. Fuata wenzako CHAUMMA.
Kivipi mkuu?Ni pandikizi la Mbowe
Hata mimi nimeomba kujulishwa kosa la Erythrocyte mpaka mtoa mada ashauri afukuzwe lakini sijapewa jibu.Erythrocyte yeye yuko sawa! Changamoto ni Yericko hayuko flexible