Yericko hama chama badala ya kuendelea kuwapinga wenzako ndani ya chama

Huyo ataondoka si muda.wenzake wote wametangulia.
 
Erythrocyte nae afukuzwe kutoka kwenye chama?, mbona ni chawa mtiifu sana?.
 
Yote kwa yote mtoa mada yupo na lake jambo kwa Erythrocyte may be kutokana na namna ambavyo hutembeza spana,
 
Yeriko yuko njia panda, anasubiri Mbowe afanye maamuzi either ya kwenda Chauma au kubaki cdm ndio maana anauma na kupuliza
Mwanaume kutokuwa na msimamo ni changamoto sana kwa kizazi hiki
 
Yametimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…