King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Umoufia Kwenu wana JF,
Mtunzi wa kitabu cha Ujasusi Ndugu Yericko Nyerere katika kuwa_encourage watunzi wenzake watumie majukwaa ya kimataifa kuuza kazi zao,amewapa siri jinsi yeye alivyofaidika kwa kuweka kazi zake kimataifa na mwezi June alipokea check yenye zaidi ya USD Dola Laki moja kutokana na Mauzo ya kitabu chake.
Ukiachana na Pesa aliyoingiza mwezi juni zaidi ya Milioni 200 za kitanzania,yericko amefanikiwa kujenga Mansion yenye ghorofa tatu(3 Storey building) huku MBUTU Somangila.
VIjana wa Lumumba jitahidini kufanya mambo mengine ya kujiiingizia kipato nje ya siasa ili muwe na faida kwa uchumi wa nchi sio kusifu tu ili mradi mkate wenu uende kinywani hivyo kutokuwa na tija kwa jamii.