Yericko Nyerere adai kuingiza zaidi ya Tsh milioni 220 kwa kuuza vitabu Amazon

Yericko Nyerere adai kuingiza zaidi ya Tsh milioni 220 kwa kuuza vitabu Amazon

Uzuri fursa ya kuitumia google ipo wazi kwa watu wote. Endapo ametumia google kujipatia pesa, bado anastahili pongezi. Na wewe wawezaitumia google ukatengeneza ukwasi
Umemjibu Vyema Sana,Kama na yeye anaweza kutumia Google kuingiza mamilioni ni vyema akafanya akashare na sisi tupate kujifunza.
 
Umoufia Kwenu wana JF,

Mtunzi wa kitabu cha Ujasusi Ndugu Yericko Nyerere katika kuwa_encourage watunzi wenzake watumie majukwaa ya kimataifa kuuza kazi zao,amewapa siri jinsi yeye alivyofaidika kwa kuweka kazi zake kimataifa na mwezi June alipokea check yenye zaidi ya USD Dola Laki moja kutokana na Mauzo ya kitabu chake.

Ukiachana na Pesa aliyoingiza mwezi juni zaidi ya Milioni 200 za kitanzania,yericko amefanikiwa kujenga Mansion yenye ghorofa tatu(3 Storey building) huku MBUTU Somangila.

VIjana wa Lumumba jitahidini kufanya mambo mengine ya kujiiingizia kipato nje ya siasa ili muwe na faida kwa uchumi wa nchi sio kusifu tu ili mradi mkate wenu uende kinywani hivyo kutokuwa na tija kwa jamii.

View attachment 1184568
Le Mutuz nae kitabu chake kilimuingizia milioni mia ngapi?
 
Uzuri fursa ya kuitumia google ipo wazi kwa watu wote. Endapo ametumia google kujipatia pesa, bado anastahili pongezi. Na wewe wawezaitumia google ukatengeneza ukwasi
Lengo halikuwa dhihaka bali kumkumbusha tu wajibu wa kuwashukuru waliomsaidia matirio ya kutiririka na kuserereka. Napendekeza dola alfu mbili kwa google.
 
Kwanini unaficha amount ya malipo na kuwacha account number?

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Hiyo ni check Account namba ni ya Amazon sio ya Yericko,Yericko anaipeleka hiyo check ambapo yeye ana account anajaza form ya kudeposit mzigo kwenye account yake kwa details zilizomo kwenye check ,kisha hiyo bank ndio inacontact amazon kwa ajili ya clearance ya mzigo.
 
Kwani hicho kitabu kiliwekwa Amazon kiliandikwa kwa kiingereza?,if not wanunuzi wa kufikisha hiyo hela walitoka wapi?,:acheni kutulisha matango pori kwa data za kupika
 
Kwa Bongo sijui ameuza Nakala Ngapi ila kwa kuangalia tu imeungizia pesa nyingi maana amejenga Mansion ya Ghorofa 3 na ndipo anapokaa Kichangani karibu na ufukwe wa bahari.
Ina wezekana ni malipo toka kwa mabeberu wanaomtumia kuiandika vibaya serikali awamu ya tano,ukisikia mtu anafunguliwa kesi ya kutakatisha hela mambo yanakuaga hivi,muandishi wa vitamu ajenge mansion ya ghorofa 3,kils mtu angeandika
 
Hiyo ni check Account namba ni ya Amazon sio ya Yericko,Yericko anaipeleka hiyo check ambapo yeye ana account anajaza form ya kudeposit mzigo kwenye account yake kwa details zilizomo kwenye bank ,kisha hiyo bank ndio inacontact amazon kwa ajili ya clearance ya mzigo.
Najua hio ni account number ya hio bank ya Well Fargo Bank na routing number yake, suala langu kwanini ifichwe amount ya hela na kuionesha account number?( kama amelipwa hio laki tuone haina madhara kwa security reasons)

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Umoufia Kwenu wana JF,

Mtunzi wa kitabu cha Ujasusi Ndugu Yericko Nyerere katika kuwa_encourage watunzi wenzake watumie majukwaa ya kimataifa kuuza kazi zao,amewapa siri jinsi yeye alivyofaidika kwa kuweka kazi zake kimataifa na mwezi June alipokea check yenye zaidi ya USD Dola Laki moja kutokana na Mauzo ya kitabu chake.

Ukiachana na Pesa aliyoingiza mwezi juni zaidi ya Milioni 200 za kitanzania,yericko amefanikiwa kujenga Mansion yenye ghorofa tatu(3 Storey building) huku MBUTU Somangila.

VIjana wa Lumumba jitahidini kufanya mambo mengine ya kujiiingizia kipato nje ya siasa ili muwe na faida kwa uchumi wa nchi sio kusifu tu ili mradi mkate wenu uende kinywani hivyo kutokuwa na tija kwa jamii.

View attachment 1184568

Hongera Yericko Nyerere
 
Back
Top Bottom