casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,361
- 2,166
Ajiandae kesi ya kutakatisha pesa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!!Kwani hicho kitabu kiliwekwa Amazon kiliandikwa kwa kiingereza?,if not wanunuzi wa kufikisha hiyo hela walitoka wapi?,:acheni kutulisha matango pori kwa data za kupika
Mimi nangoja afunguliwe kesi au tra wamuite.Mhhhh hizi takwimu zimepita NBS ?
Wazungu wako busy sana kwenye kujifunza kiswahili tofauti na wewe uliyeng'ang'ana na kigagagigikoko chako.Kwani hicho kitabu kiliwekwa Amazon kiliandikwa kwa kiingereza?,if not wanunuzi wa kufikisha hiyo hela walitoka wapi?,:acheni kutulisha matango pori kwa data za kupika
Umoufia Kwenu wana JF,
Mtunzi wa kitabu cha Ujasusi Ndugu Yericko Nyerere katika kuwa_encourage watunzi wenzake watumie majukwaa ya kimataifa kuuza kazi zao,amewapa siri jinsi yeye alivyofaidika kwa kuweka kazi zake kimataifa na mwezi June alipokea check yenye zaidi ya USD Dola Laki moja kutokana na Mauzo ya kitabu chake.
Ukiachana na Pesa aliyoingiza mwezi juni zaidi ya Milioni 200 za kitanzania,yericko amefanikiwa kujenga Mansion yenye ghorofa tatu(3 Storey building) huku MBUTU Somangila.
VIjana wa Lumumba jitahidini kufanya mambo mengine ya kujiiingizia kipato nje ya siasa ili muwe na faida kwa uchumi wa nchi sio kusifu tu ili mradi mkate wenu uende kinywani hivyo kutokuwa na tija kwa jamii.
View attachment 1184568
Kwani Lemubebez kile chake ameuza copy ngapiUmoufia Kwenu wana JF,

Kitakuwa kilifeli maana naona kimya hakuna update yeyote.Kwani Lemubebez kile chake ameuza copy ngapi
Sasa Dola Laki Moja unashindwa kuamini,Je hilo Mansion alilojenga la ghorofa 3 analokaa utaamini?Sasa tutaaminije wakati sehemu iliyoandikwa kiasi umefuta?
Acheni fiksi..Umoufia Kwenu wana JF,
Mtunzi wa kitabu cha Ujasusi Ndugu Yericko Nyerere katika kuwa_encourage watunzi wenzake watumie majukwaa ya kimataifa kuuza kazi zao,amewapa siri jinsi yeye alivyofaidika kwa kuweka kazi zake kimataifa na mwezi June alipokea check yenye zaidi ya USD Dola Laki moja kutokana na Mauzo ya kitabu chake.
Ukiachana na Pesa aliyoingiza mwezi juni zaidi ya Milioni 200 za kitanzania,yericko amefanikiwa kujenga Mansion yenye ghorofa tatu(3 Storey building) huku MBUTU Somangila.
VIjana wa Lumumba jitahidini kufanya mambo mengine ya kujiiingizia kipato nje ya siasa ili muwe na faida kwa uchumi wa nchi sio kusifu tu ili mradi mkate wenu uende kinywani hivyo kutokuwa na tija kwa jamii.
View attachment 1184568
Unaijua Amazon?Acheni fiksi..
Hapa I SMELL MONEY LAUNDERING kwa mgongo wa kitabu...
Jibu swali na si kuweka picha.Sasa Dola Laki Moja unashindwa kuamini,Je hilo Mansion alilojenga la ghorofa 3 analokaa utaamini?
View attachment 1185616