Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwake,je unaweza kujua kwa bongo hii ameuza nataka ngapi?
Mkuu, sio lazima kila mtu aandike kitabu ili kuwa na alama yake ya kudumu;Na wewe katumie google uandike chako
Mkataba wangu wa kuchambua mada JF unaishilia October 2020! Soon nitamjoin kwenye utunzi wa vitabu ili nipige pesa...
Sijui nianze kuandika kwenye maswala ya Betting ambayo nina uwelewa nayo mkubwa wa kiwango cha PhD... Nikiweza ku over come some 'ethical dilema', I will one day write about this!
Kwani hicho kitabu kiliwekwa Amazon kiliandikwa kwa kiingereza?,if not wanunuzi wa kufikisha hiyo hela walitoka wapi?,:acheni kutulisha matango pori kwa data za kupika
mh! Acha kumuonea wivu jasusi wa CHADEMAKuna ukakasi mkubwa kuamini
Siamini kama first atempts unaweza kufanya sells ya dola laki moja
Kuna waandishi mashuhuri wameweka nakala zao amazon hawajafikisha hiyo
Hongerea kwake kama kweli
Mie ni mchoma mkaa MINJINGU sitegemei siasa kuendesha maisha,nalima mboga mboga na kufuga kuku.Mwanadam bhana ,, unemsemea mwenzio na kuwaponda wanalumumba lakini umesahau wewe kutuambia nje ya umbea , kipato chako kikoje tujue hayo maneno yako ya mwisho yameakisi umbea au nn!
Niambie mkuu..Nimewafungua akili wasijikite 100% kwenye siasa,wawe na shughuli nyingine inayowaingizia kipato ukiacha zile buku 7 za kusifia mautumbo.
alishanunua mbona tena alinunua siku moja na alikiba ila hataki tu kujionyesha.Comrade Membe alinunua kuongeza maarifa..wa Magogoni anunue nae
I CAN,I MUST,I WILL kimeuzaje huko mwenye taarifa wazee....
Kwahyo hiki cha Yericko hakijaandikwa kisiasaKiliandikwa kisiasa