Yericko Nyerere adai kuingiza zaidi ya Tsh milioni 220 kwa kuuza vitabu Amazon

Yericko Nyerere adai kuingiza zaidi ya Tsh milioni 220 kwa kuuza vitabu Amazon

Kesi ya kutakatisha pesa, kutokulipa kodi na kujihusisha na magenge ya uhalifu naiona ikiwa jikoni..
 
Najua hio ni account number ya hio bank ya Well Fargo Bank na routing number yake, suala langu kwanini ifichwe amount ya hela na kuionesha account number?( kama amelipwa hio laki tuone haina madhara kwa security reasons)

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
wameacha kuficha account number wameficha pesa. kweli kazi ipo
 
hiki kitabu kwa mwezi kinauza copy moja hiyo laki mbili ilipatikanaje?
 
Attachments

  • Screenshot_20191216-091617.png
    Screenshot_20191216-091617.png
    42.6 KB · Views: 17
  • Screenshot_20191216-091920.png
    Screenshot_20191216-091920.png
    46 KB · Views: 18
Kesho TRA utawasikia wameitisha media wanamtumia bili ya kodi yake .
ukiuza amazon yenye duka lake uingereza (ambako ndio pengine watakuwa makao makuu), unalipaje kodi tz? si wameshakukata kodi kulekule UK? utalipaje kodi mara mbili? hapo hudaiwi kitu na hao TRA.
 
Something's fishy 🤔🤔
Ukiuliza unashambuliwa na kuitwa mchawi.
Lol tutafika kweli Watanzania?
 
hiki kitabu kwa mwezi kinauza copy moja hiyo laki mbili ilipatikanaje?
Mtu anaishi kiujanja ujanja kwa kufake fake tu, sijui mpaka lini.

Kwanza mtu ambaye kakataa jina la baba yake na kujichomeka surname nzito ili atapeli watu anaaminikaje.

Nadhani hawa ndio wale wa FAKE IT Till, You Make it.
 
nilidhani ni mtoto wa Nyerere
 
Asinge ficha Amount ingependeza ziaid [emoji23]
 
Back
Top Bottom