Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Sasa mbona mashahidi wa siri wanajitokeza hadharani tena? 🤣🤣🤣Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini.
Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya kutangaza rasmi kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko amesema kuwa hali ya maridhiano ilianza kubadilika mara tu Lissu alipopewa nafasi ya kushiriki vikao vya mazungumzo licha ya kutokuwa mjumbe rasmi.
"Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje. Baada ya ombi la waliokuwa uhamishoni kurejea na mikutano ya siasa kufunguliwa, aliporudi tu, Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwalika Lissu kwenye vikao vya maridhiano wakati hakuwa mjumbe. Alikiomba kikao kwa kusema: 'Ninamuomba kwa heshima aliyekuwa mgombea urais ashiriki maridhiano.'"
Tundu ni akili kubwaAliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini.
Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya kutangaza rasmi kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko amesema kuwa hali ya maridhiano ilianza kubadilika mara tu Lissu alipopewa nafasi ya kushiriki vikao vya mazungumzo licha ya kutokuwa mjumbe rasmi.
"Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje. Baada ya ombi la waliokuwa uhamishoni kurejea na mikutano ya siasa kufunguliwa, aliporudi tu, Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwalika Lissu kwenye vikao vya maridhiano wakati hakuwa mjumbe. Alikiomba kikao kwa kusema: 'Ninamuomba kwa heshima aliyekuwa mgombea urais ashiriki maridhiano.'"
YERICO HANA AKILI YEYE HAKUWA KIONGOZI WA CHADEMA HAYA ALIYAJUAJEAliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini.
Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya kutangaza rasmi kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko amesema kuwa hali ya maridhiano ilianza kubadilika mara tu Lissu alipopewa nafasi ya kushiriki vikao vya mazungumzo licha ya kutokuwa mjumbe rasmi.
"Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje. Baada ya ombi la waliokuwa uhamishoni kurejea na mikutano ya siasa kufunguliwa, aliporudi tu, Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwalika Lissu kwenye vikao vya maridhiano wakati hakuwa mjumbe. Alikiomba kikao kwa kusema: 'Ninamuomba kwa heshima aliyekuwa mgombea urais ashiriki maridhiano.'"
Ndiyo na Mimi nashangaa... Hii ni ishara ni kwa nini CCM walikuwa hawataki Lissu awe Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.YERICO HANA AKILI YEYE HAKUWA KIONGOZI WA CHADEMA HAYA ALIYAJUAJE
haya mambo hayatawaacha salama dunia inazunguka hiiNdiyo na Mimi nashangaa... Hii ni ishara ni kwa nini CCM walikuwa hawataki Lissu awe Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Siyo hasa siasani!!Siasa siasani
maridhiano ya kuendelea kuwadanganya waTanganyika?!Sasa maridhiano yana faida gani zaidi ya kujikomba? Sasa si aseme hadharani hayo mambo yaliyofanya Lissu avunje maridhiano.
Tafsiri ya Lugha: Kumbe Lissu alikuwa na nguvu kuliko wajumbe wote waliokuwa kwenye timu ya CHADEMA?
Yericko Nyerere umeenda CHAUMA lakini unataka kuyazungumza ya CHADEMA, ili iweje? Adui yenu ni CCM mnayeshindana naye kwenye uchafuzi au CHADEMA ambayo iko kwenye NO REFORMS NO REFORMS MODE?
Yeriko aache kutafuta huruma bora aende zake kweny pilau kimya kimya ili lisu abaki na wana mapinduzi wa kweli!!Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini.
Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya kutangaza rasmi kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko amesema kuwa hali ya maridhiano ilianza kubadilika mara tu Lissu alipopewa nafasi ya kushiriki vikao vya mazungumzo licha ya kutokuwa mjumbe rasmi.
"Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje. Baada ya ombi la waliokuwa uhamishoni kurejea na mikutano ya siasa kufunguliwa, aliporudi tu, Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwalika Lissu kwenye vikao vya maridhiano wakati hakuwa mjumbe. Alikiomba kikao kwa kusema: 'Ninamuomba kwa heshima aliyekuwa mgombea urais ashiriki maridhiano.'"
Mbowe Kamwambia ayaseme hayaYERICO HANA AKILI YEYE HAKUWA KIONGOZI WA CHADEMA HAYA ALIYAJUAJE