Hebu tupe analysis sasa boat lipi limezama kwa sasa.CDM kinaenda kubakia chama cha kwenye ‘social media’ tu rasmi baada ya ruzuku kukata.
Hakuna chama tena, Lissu na Heche sio wajenge taasisi ni wanaharakati; kujenga taasisi inataka uvumilivu, busara, people skills na mikakati. Hao wawili hawana hizo sifa zaidi ya kulalama tu.
Ni muda wa kurukia boat la CHAUMA kama bado.