Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Huyu hata huko CHAUMMA atawavuruga. Anatumika.
Yaani badala ya kuongea maisha ya watu eti chama cha upinzani kinaongelea chama kingine cha upinzani!!!Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini.
Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya kutangaza rasmi kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko amesema kuwa hali ya maridhiano ilianza kubadilika mara tu Lissu alipopewa nafasi ya kushiriki vikao vya mazungumzo licha ya kutokuwa mjumbe rasmi.
"Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje. Baada ya ombi la waliokuwa uhamishoni kurejea na mikutano ya siasa kufunguliwa, aliporudi tu, Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwalika Lissu kwenye vikao vya maridhiano wakati hakuwa mjumbe. Alikiomba kikao kwa kusema: 'Ninamuomba kwa heshima aliyekuwa mgombea urais ashiriki maridhiano.'"
Huyu nae nyege zinamsumbua sana atafute bwanaAliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini.
Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya kutangaza rasmi kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko amesema kuwa hali ya maridhiano ilianza kubadilika mara tu Lissu alipopewa nafasi ya kushiriki vikao vya mazungumzo licha ya kutokuwa mjumbe rasmi.
"Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje. Baada ya ombi la waliokuwa uhamishoni kurejea na mikutano ya siasa kufunguliwa, aliporudi tu, Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwalika Lissu kwenye vikao vya maridhiano wakati hakuwa mjumbe. Alikiomba kikao kwa kusema: 'Ninamuomba kwa heshima aliyekuwa mgombea urais ashiriki maridhiano.'"
Watabweka sana ila hakuna mwenye akili timamu atawaelewa. Lisu hataki mambo ya nusu mkate . Halafu walikubaliana hakuna kuhama chama imekuwaje?Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini.
Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya kutangaza rasmi kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko amesema kuwa hali ya maridhiano ilianza kubadilika mara tu Lissu alipopewa nafasi ya kushiriki vikao vya mazungumzo licha ya kutokuwa mjumbe rasmi.
"Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje. Baada ya ombi la waliokuwa uhamishoni kurejea na mikutano ya siasa kufunguliwa, aliporudi tu, Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwalika Lissu kwenye vikao vya maridhiano wakati hakuwa mjumbe. Alikiomba kikao kwa kusema: 'Ninamuomba kwa heshima aliyekuwa mgombea urais ashiriki maridhiano.'"
Lissu ni shetani asiyehutajika nchi hii.Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini.
Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya kutangaza rasmi kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko amesema kuwa hali ya maridhiano ilianza kubadilika mara tu Lissu alipopewa nafasi ya kushiriki vikao vya mazungumzo licha ya kutokuwa mjumbe rasmi.
"Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje. Baada ya ombi la waliokuwa uhamishoni kurejea na mikutano ya siasa kufunguliwa, aliporudi tu, Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwalika Lissu kwenye vikao vya maridhiano wakati hakuwa mjumbe. Alikiomba kikao kwa kusema: 'Ninamuomba kwa heshima aliyekuwa mgombea urais ashiriki maridhiano.'"
Umeandika kiswahili au ki nini hiking.Tatizo la CDM awatakagi kuambiwa ukweli Sasa ukweli ndio uo ukabali au ukatae
Kuna watu Wana Akili ndogo sana wanazidiwa hadi na sisimizi,watu wasio na akili hata hawawezi kujua ukombozi ni nn na njia za ukombozi ni Zipi.Sasa maridhiano yana faida gani zaidi ya kujikomba? Sasa si aseme hadharani hayo mambo yaliyofanya Lissu avunje maridhiano.
Tafsiri ya Lugha: Kumbe Lissu alikuwa na nguvu kuliko wajumbe wote waliokuwa kwenye timu ya CHADEMA?
Yericko Nyerere umeenda CHAUMA lakini unataka kuyazungumza ya CHADEMA, ili iweje? Adui yenu ni CCM mnayeshindana naye kwenye uchafuzi au CHADEMA ambayo iko kwenye NO REFORMS NO REFORMS MODE?
Mat**a"ko wewe🙄🙄Kuna ukweli Gani hapo???Tatizo la CDM awatakagi kuambiwa ukweli Sasa ukweli ndio uo ukabali au ukatae
Mavuno yake, ndio hayaaaa!Tundu ni akili kubwa
Mkombozi yupi mwenye kitambi ¿¿¿ nitajie m1 kwenye ulimwengu tunaoishi!!!!!!!!!!!!!Kuna watu Wana Akili ndogo sana wanazidiwa hadi na sisimizi,watu wasio na akili hata hawawezi kujua ukombozi ni nn na njia za ukombozi ni Zipi.
Yeriko ni chawa wa mbowe..Huyu hata huko CHAUMMA atawavuruga. Anatumika.
Maridhiano iwe siri wakati vyama ni mali ya wananchi na Maridhiano yanawahusu wananchi maana ndo wanaopigwa virungu wakati wa maandamano inakuaje siri tena wananchi hawatikiwi kujua mlitaka kuwauza wananchi na Maridhiano 😂😂