GE2025 Yericko Nyerere: Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi
wapambe wa Mbowe hamkuridhika na kushindwa uvhaguzi wa Jan mbona maneno mengi
 
Para pap , Shahidi wa siri anakua mlima bamia😀😀
 
huyo jeriko ni debe tupu
 
Sasa kama alialikwa kwenye kikao, kwanini unasema "japokuwa hakuwa mjumbe?"

Huyu Yericko Nyerere ni kama karukwa na akili hivi....

Mlikuwa kwenye maridhiano ya kugawiwa nusu mkate....
 
Ingia msituni sasa mkaungane na nyumbu wenzenu
 
Ingia msituni sasa mkaungane na nyumbu wenzenu
Tunaipenda Tanzania kuliko wezi wanaoiibia na kuwageuza wafuasi wao Zombie.

Yaani CCM kushindwa kuiua CHADEMA ndiyo niingie msituni. CCM haina hadhi ya kuisambaratisha Tanzania yetu tunayoipenda.

Halafu zama hizi za kurusha Drone na watu kuwaza kwenda kuishi sayari ya Mars wewe unawaza kwenda msituni?
 
Lissu hana shukrani,maarifa,busara na karama ya uongozi
 

Polepole anasema wakulaumiwa ni wahuni ila Yericko Nyerere na timu yao CHAUMMA huko? Looh!
 
Heche ni wa hovyo sana.Ni mpayukaji sana
 
CDM kinaenda kubakia chama cha kwenye ‘social media’ tu rasmi baada ya ruzuku kukata.

Hakuna chama tena, Lissu na Heche sio wajenge taasisi ni wanaharakati; kujenga taasisi inataka uvumilivu, busara, people skills na mikakati. Hao wawili hawana hizo sifa zaidi ya kulalama tu.

Ni muda wa kurukia boat la CHAUMA kama bado.
 
Rubbish!!!!!
 
Haahaa sio ccm tena? Yericko kachanganyikiwa
 
Sawa, waambie kikundi Cha mbowe kikafute Ile kesi Ili tujue ukweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…