GE2025 Yericko Nyerere: Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yaani badala ya kuongea maisha ya watu eti chama cha upinzani kinaongelea chama kingine cha upinzani!!!
 
Kwamba makamu mwenyekiti sio mjumbe? Kwamba kulikua na Mengi kuliko mlivyotuambia? Sasa ndo mwenyekiti. Mpende msipende ndo mwenyekiti.
 
Mtoto wa bata hatutakujibu tunamsubiri baba bata.
 
Huyu nae nyege zinamsumbua sana atafute bwana
 
Watabweka sana ila hakuna mwenye akili timamu atawaelewa. Lisu hataki mambo ya nusu mkate . Halafu walikubaliana hakuna kuhama chama imekuwaje?
 
Lissu ni shetani asiyehutajika nchi hii.
 
Ni baada ya nyie na ccm kutaka rushwa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Yaani Lisu alikuwa na nguvu kuliko wajumbe wote hadi avunje maridhiano? Kwanini wasiendelee na hayo maridhiano sasa maana cdm hawashiriki uchaguzi?
 
Kuna watu Wana Akili ndogo sana wanazidiwa hadi na sisimizi,watu wasio na akili hata hawawezi kujua ukombozi ni nn na njia za ukombozi ni Zipi.
 
Kuna watu Wana Akili ndogo sana wanazidiwa hadi na sisimizi,watu wasio na akili hata hawawezi kujua ukombozi ni nn na njia za ukombozi ni Zipi.
Mkombozi yupi mwenye kitambi ¿¿¿ nitajie m1 kwenye ulimwengu tunaoishi!!!!!!!!!!!!!

LISU kadanganywa na Heche kuwa yeye Heche kagundua pesa ya posho ni milioni 3 sio laki 3 Heche yupo kitone tone zaid kuona Mzee mbowe kuna mengine wanaongea wenyewe kabla ya kikao kuanza !

Heche Akili yote kwenye mchuzi. Lisu ndio Sababu ya kuvuruga malidhiano wakizani wanachezewa mchezo.. kuusu pesa sio ukombozi!!!!

Mkombozi gani mwenye kitambi na hajawa hata Rais !!!

Mjomba Lisu Nayeye eti akatangazaga mgomo wa kula !!

kwenye Dunia hajawai tokea mtu mwenye kitambi na hakatangaza mgomo wa kula !!

uyu mjomba wetu Lisu kila siku nitaanza mgomo wa kula nitaanza mgomo.

Kitambi na mgomo wa msosi wapi na wapi.

Tafuta chako maisha yako na watoto wako yasonge ukisubili ukombozi utazeeka Yericko ni mwerevu sana.
 
Yericko, akiwa na kesi mahakamani,
jopo la mawakili wa cdm, walimsaidia sana. waliamini ni mpinzani mwenzao mwenye akili, kumbe ni chawa hatari.

ana vijalida vyake na tuzo za kubebwa wakidhani ni ukoo wa mwl Nyerere. ni mtu wa ndimi mbili, kwake upande wenye maslahi kwa muda huo ndio huegemea zaidi. anajiita mtu wa mizimu, lakini mhariri wa vitabu vyake ni padri mmoja msomi wa huko iringa.

cha kujiuliza kwanini imani yake ya kichawi isihariri hivyo vitabu vyake?

yericko sio mtu wa kuaminika, maana anaandika yale asiyoyasadiki. alishindwa kumshauri Mbowe,asome nyakati aachie kijiti wengine, yeye akashupaza shingo ya kuwa atayepigwa asihame chama matokeo yake, wamepigwa na yeye kahama chama. ni mtu wa illusion sana. alimhusudu mbowe,hadi hatua ya kuamini hakuna atakayweza kumtoa kwa njia ya kura.

hivyo itoshe kusema, yericko ni wa kupuuzwa. hata hizo hoj za maridhiano anazozitema ni matokeo ya ubongo mithili ya maji, ndani ya dumu. sometimes ili kujifariji kama yamejaa inatakiwa dumu liinamishwe.
 
Maridhiano iwe siri wakati vyama ni mali ya wananchi na Maridhiano yanawahusu wananchi maana ndo wanaopigwa virungu wakati wa maandamano inakuaje siri tena wananchi hawatikiwi kujua mlitaka kuwauza wananchi na Maridhiano 😂😂

Siku zote CHADEMA inapigania kuondoa usiri kwenye mikataba ya nchi, Ila maridhiano ndo yawe siri.

Wanaridhiana nn hko ambacho hatustaili kujua? Au kugawana mbao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…