LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Yaani ugomvi wako na Manara unataka wanasimba wote waununue?? Noooo nooo hii haikubaliki duniani hadi mbinguni, Acha maisha binafsi ya Wachezaji yawe huru, ilimradi hawavunji mikataba yao.
Mkataba wa Chama hausemi asimsifie Manara badala yake akusifie wewe, Izingatiwe kuwa Wachezaji ni waajiliwa wa Simba na sio Mohamed Dewji. Ni aibu katika taifa kwa mtu mwenye haiba ya bilionea kama Mohamed Dewji kuwa na tabia ya aina hii.
Lini uliwahi kuona Abromovic akishobokea post za wachezaji wa Chelsea? Lini uliwahi kuona Stan Kroenke anashobokea post za Instagram za wachezaji wa Arsenal? Lini umewahi kuona Sheikh Mansor akishobokea post za Instagram za wachezaji wa Man City?
Ndugu tajiri Mohamed Dewji jifunze kuishi kama Taijiri uliyewekeza katika soka, usishi maisha ya Yericko wala ya Mzee Mpili. Mpira sio chuki uliyoikumbatia hiyo dhidi ya Haji Manara, Kwenye tasnia ya Soka watu huja na kupita, Manara alikuwepo na amepita, Ondoa hiyo roho ya korosho uliyo nayo kwa Manara mpira usonge mbele. Simba tunakabiliwa na Klabu Bingwa Afrika, Wekeza muda na akili yako huko, achana na tabia ya kushinda Instagram.