Yericko Nyerere amchana Mo Dewji

Yericko Nyerere amchana Mo Dewji

Yerico pamoja na kuandika vitabu vya ujasusi kweli ameshindwa kuelewa mantiki ya Mo?Mo amewekeza mabilioni anatokea mtu anahatarisha uwekezaji huo,je utakaa kimya ?
Manara anataka kuingiza mgogoro ndani ya club kwa maana nyingine anahatarisha uwekezaji,je uachwe.
Chama naye anahatarisha vipi huo uwekezaji?
 
Hawa nao kama wajinga hivi kati ya simba na manara nani kaondoka?

Simba IPO mnamjibu aliyondoka wann sasa kama anaajenda aende polisi ,kazi yakuokotaga watu mtaani hii
Hayo ndomatokeo yake
 
Tatizo watu hawataki ukweli Muddy anakera na kunyima uhuru wa mchezaji kitendo cha kumwambia mchezaji kwamba Manara ndiye aliyekulipia fee ni unyanyashaji na kubishana
Basi tufanye hivi Mo haiache timu tumkabidhi Yeriko kama ataweza kuihudumia kwa ile kazi yake ya kulima bamia na kutengeneza umeme wa majumbani
 
Msiwe wanyonge kiasi kwa huyo Muddy akikosea asiambiwe loh huo ni utumwa sasa
Yericko hangaika na mwenyekiti wako ana kesi ya ugaidi, hii burudani ya Soka tuachie sie.
Au ndo mshamsahau mwenyekiti wenu? Na mbona na wewe mwanachama mwenzio akigombana na Mbowe wewe utamwita msaliti tu!!
Je wewe utaweza kumsifia mgomvi wa babako aliyemtukana kumdhalilisha babako mbele yake? Nakuapia hutakula siku hiyo utaishia kunawa.
 
Mashabiki wa Yanga ndio wanaomtukana Mwamedi. Shida yao aondoke ili Simba wafe na njaa.
 
Mengi yatazuka baba manara kasema ni furaha kuwa na migogoro ili upande wa pili uchekeleee
 
Sasa na wewe Yeriko Kwanini unaingilia mambo ya watu wengine?.Kila mtu yupo huru kufanya vile anavyojisikia.
 
Tulimlea sana Manara akitukana watu kwa kigezo cha utani na kuwakera utopolo,sasa huyo katugeuka! Tunaenda kufanya kosa jingine la kumchekea Mo,kila kinachosemwa juu yake jibu linakuwa rahisi tu "shida yetu makombe" ashawahi kusema anajitoa siku flan hivi alisusa watu walichanganyikiwa,akabembelezwa yakaisha,Kwasasa ipo kama anatafuta sababu hivi,tuwe wa kweli hivi alichofanya ni sawa? Kulipa ada ya usajili ndio nini kwa mfano,mbona hajanipa mimi hiyo pesa kampa chama? Si kwavile anatumikia na anastahili? Kwenye hili Mo kachemka sio la kumtetea,na hii ni mbaya sana kama huu mtifuano wao watauweka hadi kwa wachezaji! Hivi chama kajisikiaje baada ya jibu la bosi? Viongozi wa simba wajipange sana huwa uwekezaji ukamilike watu wanunue hisa,simba isimame yenyewe bila hivyo ipo siku Mo atakuja kusepa ghafla tu na timu itayumba
 
kweli penzi ni kitovu cha uzembe, ukute Barbra ndio aliona hiyo event insta akamtonya mwamedi
 
Elon musk kwa siku anatweet zaidi ya mara tatu,
Kutumia mitandao ya kijamii ni hulka ya mtu, huwezi kumbadilisha.
Mo anakera sana anaishi tabia za kiswahili, abehave like a billionaire.

Kwa hadhi yake aonekane anafollow page, like au kucomment post za marais/viongozi wa nchi mbalimbali, mabilionaire wenzake.

Aache uswahili.
 
Hakuna tajiri uchwara TANZANIA kama Mo. Hata Frank Vunjabei anabuhafadhali lakini sio uu ujinga wa kwenda kujibu wachezaji kwenye mitandao
 
Back
Top Bottom