Yericko Nyerere amchana Mo Dewji

Yericko Nyerere amchana Mo Dewji

Tatizo watu hawataki ukweli Muddy anakera na kunyima uhuru wa mchezaji kitendo cha kumwambia mchezaji kwamba Manara ndiye aliyekulipia fee ni unyanyashaji na kubishana
Mo ni binadamu, imagine we ungekua Mo, umeweka 20 b afu anakuja mtu kushawishi watu kuwa wewe hufanyi kitu ni tapeli tu.
Mo amevurugwa, tumuelewe position yake, hawezi kujibizana na haji lakini anapoona hata wale wanaotegemea ufadhili wake wanasifia hasimu wa club lazima areact. Japo kakosea, lakini Chama kakosea zaidi.
 
Basi tufanye hivi Mo haiache timu tumkabidhi Yeriko kama ataweza kuihudumia kwa ile kazi yake ya kulima bamia na kutengeneza umeme wa majumbani
Mwishoni tutamsikia Yericko '' Nunua vitabu vyangu''
 
Yaani ugomvi wako na Manara unataka wanasimba wote waununue?? Noooo nooo hii haikubaliki duniani hadi mbinguni, Acha maisha binafsi ya Wachezaji yawe huru, ilimradi hawavunji mikataba yao.
Mkataba wa Chama hausemi asimsifie Manara badala yake akusifie wewe, Izingatiwe kuwa Wachezaji ni waajiliwa wa Simba na sio Mohamed Dewji. Ni aibu katika taifa kwa mtu mwenye haiba ya bilionea kama Mohamed Dewji kuwa na tabia ya aina hii.

Lini uliwahi kuona Abromovic akishobokea post za wachezaji wa Chelsea? Lini uliwahi kuona Stan Kroenke anashobokea post za Instagram za wachezaji wa Arsenal? Lini umewahi kuona Sheikh Mansor akishobokea post za Instagram za wachezaji wa Man City?

Ndugu tajiri Mohamed Dewji jifunze kuishi kama Taijiri uliyewekeza katika soka, usishi maisha ya Yericko wala ya Mzee Mpili. Mpira sio chuki uliyoikumbatia hiyo dhidi ya Haji Manara, Kwenye tasnia ya Soka watu huja na kupita, Manara alikuwepo na amepita, Ondoa hiyo roho ya korosho uliyo nayo kwa Manara mpira usonge mbele. Simba tunakabiliwa na Klabu Bingwa Afrika, Wekeza muda na akili yako huko, achana na tabia ya kushinda Instagram.

View attachment 1883697

View attachment 1883698

View attachment 1883699
Huo ndo ubaya wa kuwa billionea kwa kurithishwa. Angekuwa billionea kuanzia zero angeshtuka mapema but amekuja kuendeleza ubillionea wa baba
 
Hajitambui hiyo b20 kaweka pesa au bango we huwajui wahindi wanaroho mbaya
Mo ni binadamu, imagine we ungekua Mo, umeweka 20 b afu anakuja mtu kushawishi watu kuwa wewe hufanyi kitu ni tapeli tu.
Mo amevurugwa, tumuelewe position yake, hawezi kujibizana na haji lakini anapoona hata wale wanaotegemea ufadhili wake wanasifia hasimu wa club lazima areact. Japo kakosea, lakini Chama kakosea zaidi.
 
Back
Top Bottom