Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Mwambieni Yericko Nyerere Israeli siyo Tanzania eti wataendelea kumchekea anavyowachambua huku akionyesha dhahili anawatweza.
Mwambieni Yericko Nyerere alipo hata wa Israeli wapo, wakimwangalia tu.
Mwambieni Yericko Nyerere Israeli hawacheki na huwa si wavumilivu kwa yeyote wanayehisi ni mmoja wa wafurahiao matatizo yao pasi na kujali hali halisi.
Mwambieni Yericko Nyerere Israeli siyo wavumilivu hata kidogo!
Kazi kwake kuamua.