Yericko Nyerere anadhani Israel ni Tanzania

Yericko ni mtu mkubwa. Huwa anapata taarifa kutoka kwenye intelligence cables kabla hata wengine hawajazipata.
 
Uyo yeriko ni mtoto wa nyerere au nae ndio wale ambao familia inataka wasitembelee kiki ya jina la baba yao?
 
Huwa mnazingatia huyu mtu mfupi kama stuli?

Eti kuna watu wanunua na vitabu kabisa haha
 
Ache mikwara wewe muisrael wa Ccm
 

 
Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ haiwezekani ikahangaika na vitu vya kipuuzi kama Yericko Nyerere wako busy ni vitisho kutoka kwa wavaa vipedo โ˜ช๏ธ ๐Ÿ•‹ ๐Ÿ•Œ
 
Acha kutishia watu wewe!....
 
Ingawa waisrael watamchukulia Yericko kama punguani ila inashangaza na yeye anavyowashambulia mabeberu huku akitumia mitandao yao (Insta, Facebook na X)... ilibidi huyu jasusi pori wa Ufipa atafute mitandao ya kirusi ndo aitumie.
Aaahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ