Turushieni CV ya huyu Yeriko ndio mtajua hamjuiYericko Nyerere hongera sana.
Namkumbusha johnthebaptist kuwa Yericko ni CHADEMA damu damu na ni kiongozi wa chama
Hivi huko ccm kuna mtu mwenye kuweza kuandika hata jarida likakubalika Duniani kama huyu mwana CHADEMA?