Yericko Nyerere: Kama wewe sio mpiga kura usisogee ukumbi wa kupigia kura Mlimani City

Yericko Nyerere: Kama wewe sio mpiga kura usisogee ukumbi wa kupigia kura Mlimani City

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
20250120_071509.jpg

Hao ndiwo wapiga zumali wa bwana Mbowe kwa sasa. Na ndiwo anaowategemea baada ya Uchaguzi watakuwa wasaidizi wake kwenye Chama.

Tafakari.
 
Huu uchaguzi wa CDM umetudhihirishia kwamba bado Nchi haiwezi kuwa na chama Mbadala kwa sasa zaidi ya CCM.
Watu kama hawa ndo ungeweza tegemea wawe kwenye nafasi za juu za teuzi endapo CDM ingeshika madaraka alafu ndo akili zao hizi tena hadharani mitandaoni!?!?!?!
 
Back
Top Bottom