Yericko Nyerere: Kama wewe sio mpiga kura usisogee ukumbi wa kupigia kura Mlimani City

Huu uchaguzi wa CDM umetudhihirishia kwamba bado Nchi haiwezi kuwa na chama Mbadala kwa sasa zaidi ya CCM.
Watu kama hawa ndo ungeweza tegemea wawe kwenye nafasi za juu za teuzi endapo CDM ingeshika madaraka alafu ndo akili zao hizi tena hadharani mitandaoni!?!?!?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…