Yericko Nyerere katika kesi ya uhaini ya Tundu Lissu apiga U-TURN, amtaka Lissu akubali maridhiano ya Mbowe style!

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Screenshot_20250821-220327.png

"....Kesi za Lissu ni kesi dhidi ya Upinzani, Mtu yoyote anayeitakia mema nchi na siasa ya nchi hii, na atalaani kwa nguvu zote kesi hii. Mimi kama mwanasiasa ninashauri njia bora ya kumaliza kesi hii, Ninaamini Kesi hii haiwezi kuisha kwenye mkondo wa kisheria, Kesi hii ni ya Kisiasa, Hivyo lazima iishie kwenye mkondo wa kisiasa. Mkondo wa kisiasa tafsiri yake ni “meza ya maridhiano”. Njia iliyomaliza kesi ya Ugaidi ya Mbowe, ndio njia itakayomaliza kesi za Lissu. Watawala hawajali chochote kwenye mazingira ya kesi za aina hii, Kiza Besigye Uganda anamaliza mwaka wa pili yuko mahabusu kwa kesi ya uhaini, na mifano mingine mingi afrika...!"

Yericko Nyerere
================================================

My opnions:

Wewe ndugu yangu Yericko Nyerere na wenzako wote wenye mtazamo kama wako, eleweni jambo moja muhimu hili. Uganda sio Tanzania na Tundu Lissu sio Kiza Besigye wala sio Freeman Mbowe...

Kwamba CHADEMA chini ya uenyekiti wa Tundu Lissu siku zote na mara zote inaamini ktk hiki unachokipendekeza hapa - Maridhiano katika meza ya mazungumzo. Tofauti iliyopo na inayokwamisha hili kufanyika ni kushindwa kuelewana ktk modality ya maridhiano hayo...!

Swala linalosumbua ni terms na conditions zipi ziwe mwongozo wa maridhiano hayo. CCM na serikali yao wana zao na modality yao. CHADEMA wanawaambia, hapana twendeni hivi. Inapofikia hapo, mkwamo hutokea...

Hapa ndipo ambapo CHADEMA ya Tundu Lissu inatofautiana na CCM na serikali yao. Mwisho wa siku CCM na serikali wanachukua mkondo wa kubaki madarakani kwa nguvu kwa kuamua ku - abuse sheria, mahakama, vyombo vya dola ili kumkomoa mtu mmoja tu, Tundu Lissu aliyebeba hoja na maono ya wananchi wote wa Tanzania...

Na sababu ya kufanya uhuni huu wote ni moja tu....

CCM, Rais Samia na serikali yake wanataka hiyo reconciliation iwe ktk terms na conditions zao ikiwemo kufanyikia sirini na kulazimisha CHADEMA na Tundu Lissu kukubali rushwa na hongo za pesa na vijinafasi kadhaa vya madaraka kama vile majimbo ya ubunge nk ili wawaache CCM waendelee kufanya watakavyo...

Hili Tundu Lissu kalikataa na ndio maana wanamuona ni kikwazo na wanatafuta kila namna kum - eliminate....

Tunajua kuwa wameshafanya mazungumzo naye mara kadhaa huko gerezani kwa kutuma wajumbe tofauti tofauti kumtaka akubali hiki unachokishauri hapa kama sharti la kufutiwa mashitaka yake mchongo, lakini mara zote imeshindikana kwa kuwa Tundu Lissu huwapa masharti ya kutimiza ambayo kwa mtazamo wao ni magumu. Yeye anachotaka ni HAKI & FAIRNESS baasi. Na masharti haya anayowapa wajumbe wa CCM na Samia na serikali yake ni yale yale yanayobebwa na kaulimbiu ya CHADEMA ya NO REFORMS, NO ELECTION...

Lakini kumbuka jambo moja muhimu ndugu Yericko Nyerere: Kwamba, Tanzania sio Uganda na wala siyo Kenya. Tundu Lissu sio Mbowe na wala siyo Kiza Besije wa Uganda. Tanganyika ilipata uhuru wake 1961 kwa njia tofauti kabisa na nchi zingine. Hata sasa itakombolewa kutoka mikononi mwa hayawani hawa wachache kwa namna yake. Mungu wa mbinguni is in control..

Tundu Lissu ni Tundu Lissu. Besije hajawahi kupigwa risasi 16 mwilini halafu akaacha kufa. Tundu Lissu hatakufa sasa wala kesho. CCM itang'oka madarakani bila kukubaliana na uhayawani wao...

MUNGU IBARIKI TANGANYIKA. Amen🙏🏻🙏🏻
 
View attachment 3448433

I hope anajua ni wangapi wameenda kunegotieti na wameshindwa.

-Anajua maridhiano yatakuwa yapi? Kuendesha chama kwa staili ya Mbowe-Mbowe..?

Kweli Yericko anathamini pesa kuliko chochote, anathibitisha tuhuma zilizokuwa zinasemwa…
 
Unaona sasa huyu Yericko. Majuzi tu hapa alikuwa anafurahia Lissu kutupwa korokoroni. Wadukuzi wakaja na nyuz kwamba na yeye ni miongoni mwa Mashahidi walioandaliwa na Serikali. Watu waliruka naye akapaniki Ile mbaya. Leo kaja na mpya kuonyesha anauchungu na Lissu?

Hii ni mbinu ya kujisafisha tu mbele ya umma ili ionekane yaliyosemwa juu yake dhidi ya Lissu si ya kweli. Hii ni dalili ya uoga!!
 
Ni maoni yake, na yupo sahihi kwa asilimia fulani.
Anae teseka mahabusu ni Lissu, watanzania ambao sahivi walitakiwa wawe wamewasha moto kuweka shinikizo ndo sisi hapa mtandaoni tunatukanana.
Ingawa kweli nafasi ya maridhiano kwasasa sijiui itakuwa ipi

Ila tuendelee kujipa moyo na baadhi ya wana CCM wanao pinga uongozi uliopo kwasasa. Vinginevyo ingekuwa ngumu sana kwa Lissu na uongozi wa Chadema
 
Atajijua mwenyewe Lissu.

Alisema yeye na wafuasi wake watakinukisha acha wakinukishe mpaka atoke nyuma ya nondo.

Akitoka nyuma ya nondo kwa huruma ya Sasha aachane na ukenya katika siasa za Tanzania hakuna kitu atafanikiwa kwa Watanzania hawa wanaokesha Jf na X kumuunga mkono ila mtaani hawapo wapo busy na simba na yanga
 
Eti...!! Kesi ya uhaini, Kama uhaini mbona instsfutiwa mashahidi wa mchongo,ushaidi wa gizani. Mwambie hyo mgombea wenu wa mchongo Lisu is more than hyo prezdada asiyejiamin wala kyjmbua
 
mbowe vs lisu vitu viwili tofauti

mwambieni adili na chaumma huku kungine kiatu kikubwa sana
 
Atajijua mwenyewe Lissu.

Alisema yeye na wafuasi wake watakinukisha acha wakinukishe mpaka atoke nyuma ya nondo.

Akitoka nyuma ya nondo kwa huruma ya Sasha aachane na ukenya katika siasa za Tanzania hakuna kitu atafanikiwa kwa Watanzania hawa wanaokesha Jf na X kumuunga mkono ila mtaani hawapo wapo busy na simba na yanga
Wewe bila shaka ni mtoto wa darasa la IV Ununio S/M...

Argument yako haineshi kama akili yako imekomaa. Unaonekana umepata elimu ya kukaririshwa tu. Huna uwezo wa kutafakari na kufanya uchambuzi wa kimantiki katika kila neno unalosikia likisemwa...

Wewe ndio wale aina ya mtoto akisikia mtu anasema "mvua inakunya balaa huko nje", utakimbia kwa mama yako kusema, "mama nenda kazoe mavi, mvua imekunya nje😛😛😛"

Bure kabisa wewe🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻...
 
View attachment 3448433
"....Kesi za Lissu ni kesi dhidi ya Upinzani, Mtu yoyote anayeitakia mema nchi na siasa ya nchi hii, na atalaani kwa nguvu zote kesi hii. Mimi kama mwanasiasa ninashauri njia bora ya kumaliza kesi hii, Ninaamini Kesi hii haiwezi kuisha kwenye mkondo wa kisheria, Kesi hii ni ya Kisiasa, Hivyo lazima iishie kwenye mkondo wa kisiasa. Mkondo wa kisiasa tafsiri yake ni “meza ya maridhiano”. Njia iliyomaliza kesi ya Ugaidi ya Mbowe, ndio njia itakayomaliza kesi za Lissu. Watawala hawajali chochote kwenye mazingira ya kesi za aina hii, Kiza Besigye Uganda anamaliza mwaka wa pili yuko mahabusu kwa kesi ya uhaini, na mifano mingine mingi afrika...!"

Yericko Nyerere
================================================

My opnions:

Wewe ndugu yangu Yericko Nyerere na wenzako wote wenye mtazamo kama wako, eleweni jambo moja muhimu hili. Uganda sio Tanzania na Tundu Lissu sio Kiza Besigye wala sio Freeman Mbowe...

Kwamba CHADEMA chini ya uenyekiti wa Tundu Lissu siku zote na mara zote inaamini ktk hiki unachokipendekeza hapa - Maridhiano katika meza ya mazungumzo. Tofauti iliyopo na inayokwamisha hili kufanyika ni kushindwa kuelewana ktk modality ya maridhiano hayo...!

Swala linalosumbua ni terms na conditions zipi ziwe mwongozo wa maridhiano hayo. CCM na serikali yao wana zao na modality yao. CHADEMA wanawaambia, hapana twendeni hivi. Inapofikia hapo, mkwamo hutokea...

Hapa ndipo ambapo CHADEMA ya Tundu Lissu inatofautiana na CCM na serikali yao. Mwisho wa siku CCM na serikali wanachukua mkondo wa kubaki madarakani kwa nguvu kwa kuamua ku - abuse sheria, mahakama, vyombo vya dola ili kumkomoa mtu mmoja tu, Tundu Lissu aliyebeba hoja na maono ya wananchi wote wa Tanzania...

Na sababu ya kufanya uhuni huu wote ni moja tu....

CCM, Rais Samia na serikali yake wanataka hiyo reconciliation iwe ktk terms na conditions zao ikiwemo kufanyikia sirini na kulazimisha CHADEMA na Tundu Lissu kukubali rushwa na hongo za pesa na vijinafasi kadhaa vya madaraka kama vile majimbo ya ubunge nk ili wawaache CCM waendelee kufanya watakavyo...

Hili Tundu Lissu kalikataa na ndio maana wanamuona ni kikwazo na wanatafuta kila namna kum - eliminate....

Tunajua kuwa wameshafanya mazungumzo naye mara kadhaa huko gerezani kwa kutuma wajumbe tofauti tofauti kumtaka akubali hiki unachokishauri hapa kama sharti la kufutiwa mashitaka yake mchongo, lakini mara zote imeshindikana kwa kuwa Tundu Lissu huwapa masharti ya kutimiza ambayo kwa mtazamo wao ni magumu. Yeye anachotaka ni HAKI & FAIRNESS baasi. Na masharti haya anayowapa wajumbe wa CCM na Samia na serikali yake ni yale yale yanayobebwa na kaulimbiu ya CHADEMA ya NO REFORMS, NO ELECTION...

Lakini kumbuka jambo moja muhimu ndugu Yericko Nyerere: Kwamba, Tanzania sio Uganda na wala siyo Kenya. Tundu Lissu sio Mbowe na wala siyo Kiza Besije wa Uganda. Tanganyika ilipata uhuru wake 1961 kwa njia tofauti kabisa na nchi zingine. Hata sasa itakombolewa kutoka mikononi mwa hayawani hawa wachache kwa namna yake. Mungu wa mbinguni is in control..

Tundu Lissu ni Tundu Lissu. Besije hajawahi kupigwa risasi 16 mwilini halafu akaacha kufa. Tundu Lissu hatakufa sasa wala kesho. CCM itang'oka madarakani bila kukubaliana na uhayawani wao...

MUNGU IBARIKI TANGANYIKA. Amen🙏🏻🙏🏻
SAHIHI.
 
Huyu chawa naye ni wa kusiliza wakati anachofanya ni utapeli kama wa akina Gwajima na matapeli wengine?
 
Back
Top Bottom