Yericko Nyerere: Mwanasiasa bora wa upinzani

Hakyanani wewe unaweza kuua mtu kwa kicheko. Kwamba jamaa ni msomi ... elimu yake haina mashaka ..... kasomea VETA Mufindi
Mbavu zangu mie 😂😂🤣🤣
Inajulikana kuwa VETA Mufindi wanatoa wahitimu walioiva na mahiri.
 
Hajawahi kuwa mpinzani. Yuko kazini. Na alichokifanya 2015 anakijua na wapinzani wanakijua pia. Kwa aibu alipotea.
 
Umesahau ana Group of companies kama Bakhressa. [emoji4][emoji4]
 

Umesahau ana Ghorofa la floor tatu Block E Mbutu.
 
Yericko Nyerere:[emoji3582]
Hiyo alama : inamaanisha amesema yeye.
Yericko Nyerere;[emoji3581]
Hiyo alama; inamaanisha unamsemea wewe.

Kwako faizafokes
 
Hapa unamaanisha nini?
Nilikuwa namkumbusha mleta mada kupitia tena daftari lake la kiswahili enzi hizo..hasa kipengele cha tamathali za semi..hasa matumizi ya alama hizi [emoji117],[emoji117]:[emoji117]; katika sentensi
 
Huyo jamaa ni mbabaishaji tu.

Huko Amazon nimekutana na kitabu chake anauza $45,nikasema ngoja niangalie wasifu wa mwandishi.

Hiki kipengele cha "About the author" kwa wengine ni muhimu mno ili ujue utamsoma mtu wa aina gani au mbobezi kwenye nini hasa hawa wasio na majina makubwa.

Ajabu kajamaa hakajaweka kitu ilhali Obama mwenyewe anayejulikana na kila mtu kajielezea yeye ni nani kunadi vitabu vyake.

Again,ukiangalia vitabu 100 vinavyofanya vizuri kwenye mauzo kwa SASA Amazon,kile ghali zaidi ni $35 hivi sasa unabaki kujiuliza huyu jamaa kitabu chake kina nini cha zaidi mpaka kiwe that expensive.

Laki kumsoma Yericko asiyejulikana hata taaluma yake wala eneo lake la umahiri.
 
Tatizo kubwa la Yeriko ni nyota. Hana mvuto wa kisiasa, si tuu kwenye Taifa Bali hata kwenye chama chake. Imagine vijana wa juzi Kati chama Kama aliyekuwa Mwenyekiti wangu wa TYCS Mwanza, kamanda John Pambalu amekuwa chair wa BAVICHA Wakati Yericko kijana mpambania chama hata nafasi ya kugombea Udiwani huko kwake Mbutu hawezi pewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…