Yericko Nyerere: Mwanasiasa bora wa upinzani

Yericko Nyerere: Mwanasiasa bora wa upinzani

Mimi sina chama lakini mara nyingi maandishi ya wapinzani ama wakiwa bungen ama nje ya bunge yana maana kuliko ya watu walio kwenye chama tawala! Nadhani ni kwa kuwa wa chama tawala wanaficha sana ukweli na ni waoga!
 
Tatizo kubwa la Yeriko ni nyota. Hana mvuto wa kisiasa, si tuu kwenye Taifa Bali hata kwenye chama chake. Imagine vijana wa juzi Kati chama Kama aliyekuwa Mwenyekiti wangu wa TYCS Mwanza, kamanda John Pambalu amekuwa chair wa BAVICHA Wakati Yericko kijana mpambania chama hata nafasi ya kugombea Udiwani huko kwake Mbutu hawezi pewa.
Yule Malisa Godlisten ana cheo gani au aligombea wapi?

Akili yako ndogo sana.
 
Back
Top Bottom