Yericko Nyerere na wenzake waende Stand Up Comedy; kama walimshindwa Lissu CHADEMA wataiweza CCM yenye Dola?

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Hamjambo!

Unajua kuna watu wanadunia ya peke Yao. Hasa kwenye hawa Vituko Show, au Futuhi.

Kina Yericko Nyerere na wenzake ni watu wenye vipaji bora sana katika ufutuhi na standup comedy. Coy Mzungu ni vile hajawaona. Lakini nina uhakika wananamba Pale Cheka Tuu. Hasa Yericko namwona kama mtu ambaye kipaji chake kinatumika sehemu isiyo sahihi.

Yericko kama ulimshindwa Tundu Lisu ukiwa pua na Mdomo, ukiwa ndani ya Chadema. Hakuna namna yoyote utakayoweza kumshinda Lisu ukiwa nje ya Chadema. Hiyo haihitaji akili za Kijasusi.
Ni common sense tuu!

Katika ulengaji wa Shabaha, kama unamiss target ya mita 10 tuu hakuna uwezekano wa kulenga target ya Mita mia moja au kilomita moja.

Ufutuhi mwingine ni pale umemshindwa Tundu Lisu mmoja, asiye na rasilimali ambazo mnazitegemea yaani pesa. Alafu mnasema mtaiweza CCM yenye kila aina ya Rasilimali!
Huo ni ufutuhi, vituko, Vioja.

Haya! Tupo Tunatazama!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Sijui kwa nini anashindwa kujikita na sera za chma chake kipya yeye na Jame Mbowe wanahangaika na chadema tu
 
Jamaa. Na vitabu vyake nlikuwa namwona smart sana, kumbe?
Umewahi kuvisoma lakini?

Vile vitabu ukikaa kwa umakininutangua jamaa ukopi na ku paste tu hakuna akili mle. Nimewahi kulisoma kitabu kimoja wapo nilikikuta kwa padre mmoja akaniadhima nikijua nitaambulia vitu ukweli ukisoma utaona jamaa yuko vzr ila ukitulia na kutumia akili yako na jamaa alivyo (mwandishi) unaelewa copy and paste tu.
 
Ni kama eric shigongo... kumbe nae alikuwa anakopi riwaya za wenzake halafu anajaziajazia vinyama kidogo na kuchapisha kwenye magazeti yale ya championi kama unayapata
 
Wote hao lao moja. Ni vijana wahuni ambao uhuni wao wameutumia bado tukiwa hatujaamka na kuahidi Yeriko kuanzia sasa soko lake litabuma mnoo maana watu wamefukua kila kitu.

Mkuu hujiulizi mtu kama yule hajawahi hata ishi Russia lkn anakuletea likitabu likumbwa eti anaichambu Moscow na Ukraine real?
 
Mimi nilifikiri asijadiliwe sana aachwe na vikaratasi vyake........achana nae
 
Hamjambo!

Unajua kuna watu wanadunia ya peke Yao. Hasa kwenye hawa Vituko Show, au Futuhi.

Kina Yericko Nyerere na wenzake ni watu wenye vipaji bora sana katika ufutuhi na standup comedy. Coy Mzungu ni vile hajawaona. Lakini nina uhakika wananamba Pale Cheka Tuu. Hasa Yericko namwona kama mtu ambaye kipaji chake kinatumika sehemu isiyo sahihi.

Yericko kama ulimshindwa Tundu Lisu ukiwa pua na Mdomo, ukiwa ndani ya Chadema. Hakuna namna yoyote utakayoweza kumshinda Lisu ukiwa nje ya Chadema. Hiyo haihitaji akili za Kijasusi.
Ni common sense tuu!

Katika ulengaji wa Shabaha, kama unamiss target ya mita 10 tuu hakuna uwezekano wa kulenga target ya Mita mia moja au kilomita moja.

Ufutuhi mwingine ni pale umemshindwa Tundu Lisu mmoja, asiye na rasilimali ambazo mnazitegemea yaani pesa. Alafu mnasema mtaiweza CCM yenye kila aina ya Rasilimali!
Huo ni ufutuhi, vituko, Vioja.

Haya! Tupo Tunatazama!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam

..Samia Suluhu hawezi kumshinda Salum Mwalimu ikiwa wataandaliwa mdahalo.
 
Bongo hii watu wanaojulikana na kuonekana kama smart trust me ni ma bogus mnooo. Smart people wala hawafahamiki sana
Hii nilishajiona unaweza kutoa wazo kumbe ka Yericko Nyerere kakabeba na kujifanya ndio kenyewe nilishawafaidisha watu wengi.ila kalikuwa kahouse boy ketu ka kulima bamia sijui kaliingia vipi kwenye sisasa.
chauma ubwabwa una mboga ya bamia sasa
 
Yericko kama ulimshindwa Tundu Lisu ukiwa pua na Mdomo, ukiwa ndani ya Chadema. Hakuna namna yoyote utakayoweza kumshinda Lisu ukiwa nje ya Chadema. Hiyo haihitaji akili za Kijasusi.
Ni common sense tuu.

Hii imeenda
 
Hamjambo!

Unajua kuna watu wanadunia ya peke Yao. Hasa kwenye hawa Vituko Show, au Futuhi.

Kina Yericko Nyerere na wenzake ni watu wenye vipaji bora sana katika ufutuhi na standup comedy. Coy Mzungu ni vile hajawaona. Lakini nina uhakika wananamba Pale Cheka Tuu. Hasa Yericko namwona kama mtu ambaye kipaji chake kinatumika sehemu isiyo sahihi.

Yericko kama ulimshindwa Tundu Lisu ukiwa pua na Mdomo, ukiwa ndani ya Chadema. Hakuna namna yoyote utakayoweza kumshinda Lisu ukiwa nje ya Chadema. Hiyo haihitaji akili za Kijasusi.
Ni common sense tuu!

Katika ulengaji wa Shabaha, kama unamiss target ya mita 10 tuu hakuna uwezekano wa kulenga target ya Mita mia moja au kilomita moja.

Ufutuhi mwingine ni pale umemshindwa Tundu Lisu mmoja, asiye na rasilimali ambazo mnazitegemea yaani pesa. Alafu mnasema mtaiweza CCM yenye kila aina ya Rasilimali!
Huo ni ufutuhi, vituko, Vioja.

Haya! Tupo Tunatazama!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Yericko Nyerere ni viatu vya kwendea chooni
 
yeriko toka lini kawa mkulima wa bamia au kana rima mirungu.
640px-Graphiurus_spec_-murinus-1.jpg
 
Back
Top Bottom