baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Ulikua hana Usmart wowoteJamaa. Na vitabu vyake nlikuwa namwona smart sana, kumbe?
Ulikua hana Usmart wowoteJamaa. Na vitabu vyake nlikuwa namwona smart sana, kumbe?
Hata Mbowe sio saizi ya Lissu acha na LissuYericko Nyerere hawezi kujilinganisha na lissu kamwe, lissu saizi yake ni mbowe
Huyo jasusi Yericko Nyerere pia ni comedian..
Umenena vema MkuuKijamaa kina kina kitambi cha minyoo , kajinga sana kale kajamaa, ati ndo iliyokuwa think Tank ya Mbowe, wakati mwingine tusimuhukumu sana Mbowe wenda amebeba mambo mengi moyoni mwake , wenda alisha wachora hawa vijana matapeli ,anao kimkakati .
Ni ngumu amini Mbowe kata mkono wa mwanae ambae amechafua kiganja chake , may be kama karogwa