Yericko Nyerere na wenzake waende Stand Up Comedy; kama walimshindwa Lissu CHADEMA wataiweza CCM yenye Dola?

Hamjambo!

Unajua kuna watu wanadunia ya peke Yao. Hasa kwenye hawa Vituko Show, au Futuhi.

Kina Yericko Nyerere na wenzake ni watu wenye vipaji bora sana katika ufutuhi na standup comedy. Coy Mzungu ni vile hajawaona. Lakini nina uhakika wananamba Pale Cheka Tuu. Hasa Yericko namwona kama mtu ambaye kipaji chake kinatumika sehemu isiyo sahihi.

Yericko kama ulimshindwa Tundu Lisu ukiwa pua na Mdomo, ukiwa ndani ya Chadema. Hakuna namna yoyote utakayoweza kumshinda Lisu ukiwa nje ya Chadema. Hiyo haihitaji akili za Kijasusi.
Ni common sense tuu!

Katika ulengaji wa Shabaha, kama unamiss target ya mita 10 tuu hakuna uwezekano wa kulenga target ya Mita mia moja au kilomita moja.

Ufutuhi mwingine ni pale umemshindwa Tundu Lisu mmoja, asiye na rasilimali ambazo mnazitegemea yaani pesa. Alafu mnasema mtaiweza CCM yenye kila aina ya Rasilimali!
Huo ni ufutuhi, vituko, Vioja.

Haya! Tupo Tunatazama!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Mkuu andiko lako ,liko juu sana ,hata uyo Yericko mwenye kitambi cha minyoo hawezi kuelewa, Chadema chini ya uongozi uliopita umewachezea sana watz, umewacheleweshea sana mabadiliko watz.

Note.

NR NE imekita parefu sana , wala wanachadema na wazalendo wa kweli hawana presha , Mh lissu alisema kipindi flani
Kwa kunukuu.

Kama unafiki udiwani ,ubunge, sahau, na mimi ambae nilisha weka nia ya kugombea urais mwaka huu ,nimesahau . Mnaotaka kwenda kwingine tuwatakie safari njema.
Maneno ya mwana wa Mungu Lissu.
 
Kama alijipa tu hadi jina lisilomuhusu mchezo haya sisi letu ni moja tu akienda kuchagua mchele wa ubwabwa atafute wa kunukia sana mana ndo anachoweza
 
Hamjambo!

Unajua kuna watu wanadunia ya peke Yao. Hasa kwenye hawa Vituko Show, au Futuhi.

Kina Yericko Nyerere na wenzake ni watu wenye vipaji bora sana katika ufutuhi na standup comedy. Coy Mzungu ni vile hajawaona. Lakini nina uhakika wananamba Pale Cheka Tuu. Hasa Yericko namwona kama mtu ambaye kipaji chake kinatumika sehemu isiyo sahihi.

Yericko kama ulimshindwa Tundu Lisu ukiwa pua na Mdomo, ukiwa ndani ya Chadema. Hakuna namna yoyote utakayoweza kumshinda Lisu ukiwa nje ya Chadema. Hiyo haihitaji akili za Kijasusi.
Ni common sense tuu!

Katika ulengaji wa Shabaha, kama unamiss target ya mita 10 tuu hakuna uwezekano wa kulenga target ya Mita mia moja au kilomita moja.

Ufutuhi mwingine ni pale umemshindwa Tundu Lisu mmoja, asiye na rasilimali ambazo mnazitegemea yaani pesa. Alafu mnasema mtaiweza CCM yenye kila aina ya Rasilimali!
Huo ni ufutuhi, vituko, Vioja.

Haya! Tupo Tunatazama!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Maajabu duniani ni mengi
 
Uchaguzi wa CDM January ume expose IQ ndogo ya Yeriko Nyerere,. kajamaa ni kajinga sana
 
Yeye kwa madai yake alisema Mhe. Mbowe atashinda tukamwambia upepo haupo upande wa Mbowe. Akabisha na kuleta chambuzi za Ujasusi wa mizimu. Tukasema sawa.

Sasa hivi analeta vituko vingine. Hivi aende BASATA akapate Hatimiliki vitamlipa walahi
 
Ila wajumbe wa CDM! 🙌🏻

Kuna namna naamini kuna watu wanataka mabadiliko ya kweli. Uchaguzi wa CDM umetuambia mengi sana.

Uchaguzi wa CHADEMA Umedhalilisha watu wengi ambao waliheshimiwa Kimakosa kwa miaka mingi.
Na pia walipewa vyeo isivyo halali.

Sasa ngoja utaona Ufutuhi na jinsi watakavyoumbuka
 
Hivi Yericko Nyerere alishashiriki maandamano mara 5+ akiwa CHADEMA?

Kama ndio naomba picha yoyote hapa nione.

Yeye ni mchambuzi. Huko utamuonea tuu. Wachambuzi kazi yetu ni kwenye keyboard.
Ila huku kwenye Keyboard alishakutana na tuhuma nyingi hasa za kuiba nyaraka za watu kama The Bold na hakuwahi kuzikanusha kumaanisha ni kweli
 
Uchaguzi wa CDM January ume expose IQ ndogo ya Yeriko Nyerere,. kajamaa ni kajinga sana
Kijamaa kina kina kitambi cha minyoo , kajinga sana kale kajamaa, ati ndo iliyokuwa think Tank ya Mbowe, wakati mwingine tusimuhukumu sana Mbowe wenda amebeba mambo mengi moyoni mwake , wenda alisha wachora hawa vijana matapeli ,anao kimkakati .

Ni ngumu amini Mbowe kata mkono wa mwanae ambae amechafua kiganja chake , may be kama karogwa
 
Yeye ni mchambuzi. Huko utamuonea tuu. Wachambuzi kazi yetu ni kwenye keyboard.
Ila huku kwenye Keyboard alishakutana na tuhuma nyingi hasa za kuiba nyaraka za watu kama The Bold na hakuwahi kuzikanusha kumaanisha ni kweli
Mimi namuona Yericko Nyerere kama mtu anayekusanya machapisho na kuyatafsiri kutoka google na akisema ameandika kitabu.

Anajiita intelligence analyst huku ameshindwa kutoa clue ya vijana wa chama waliotekwa
 
Kitendo cha kushindwa kutambua nguvu ya Lisu Chadema ni moja ya mambo yaliyodhihirisha uwezo wake
 
Hamjambo!

Unajua kuna watu wanadunia ya peke Yao. Hasa kwenye hawa Vituko Show, au Futuhi.

Kina Yericko Nyerere na wenzake ni watu wenye vipaji bora sana katika ufutuhi na standup comedy. Coy Mzungu ni vile hajawaona. Lakini nina uhakika wananamba Pale Cheka Tuu. Hasa Yericko namwona kama mtu ambaye kipaji chake kinatumika sehemu isiyo sahihi.

Yericko kama ulimshindwa Tundu Lisu ukiwa pua na Mdomo, ukiwa ndani ya Chadema. Hakuna namna yoyote utakayoweza kumshinda Lisu ukiwa nje ya Chadema. Hiyo haihitaji akili za Kijasusi.
Ni common sense tuu!

Katika ulengaji wa Shabaha, kama unamiss target ya mita 10 tuu hakuna uwezekano wa kulenga target ya Mita mia moja au kilomita moja.

Ufutuhi mwingine ni pale umemshindwa Tundu Lisu mmoja, asiye na rasilimali ambazo mnazitegemea yaani pesa. Alafu mnasema mtaiweza CCM yenye kila aina ya Rasilimali!
Huo ni ufutuhi, vituko, Vioja.

Haya! Tupo Tunatazama!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Huyo jasusi Yericko Nyerere pia ni comedian..
 
Back
Top Bottom