msovero
JF-Expert Member
- Jun 30, 2019
- 863
- 1,534
Jana katika kipindi cha medani za siasa kinachorushwa Star TV chini ya matayarishaji Chief Odemba, bw. Yericko Nyerere ambaye ni Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) akiweka wazi kuwa, nyumba aliyoshambuliwa Mh. TUNDU LISSU haikuwa yake Bali ilikuwa ya Mh. FREEMAN MBOWE ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho.
Ikumbukwe kuwa, TUNDU LISSU alishambuliwa maeneo ya Area D jijini Dodoma na CCTV camera za Eneo Hilo ziliondolewa Hadi Leo haifahamiki Nani aliziondoa na Kwa malengo gani
Pia soma,
www.jamiiforums.com
Ikumbukwe kuwa, TUNDU LISSU alishambuliwa maeneo ya Area D jijini Dodoma na CCTV camera za Eneo Hilo ziliondolewa Hadi Leo haifahamiki Nani aliziondoa na Kwa malengo gani
Pia soma,
DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali
Kitu ambacho Watu wengi Sana hapa tz ni kwamba haya makampuni ya simu baadhi ya wamiliki wake (shareholders) ni mawakala wa siri(Active Members) wa wale jamaa wa pale makumvusho. Hatari sana