Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Akiwa anazungumza kwenye mdahalo ambao umeandaliwa na Chief Odemba hivi karibuni, kada wa CHADEMA, Yeriko Nyerere amesema kuwa siku Mbowe akiwa kwenye machela anaumwa ndio siku watamuua kumpumzisha nafasi ya Uenyekiti.
“Tuliyenaye Freeman Mbowe ni Alfa na Omega, kwa mujibu wa katiba yetu siku Mbowe akisema hataki kugombea na tunambeba kwenye machela ndio tutamuweka benchi…”
=========================================================
Swali: Kwa kauli hizI, Yeriko Nyerere ana tofauti gani na wale watu wanaojiita "chawa wa mama" ?