Yericko Nyerere: Siku Mbowe akiwa kwenye machela hawezi kutembea, ndio tutamuweka benchi

Yericko Nyerere: Siku Mbowe akiwa kwenye machela hawezi kutembea, ndio tutamuweka benchi

Humu watu walishamstukia miaka zaidi ya 10 nyuma na fakery zake.Kuna watu wakashupaza shingo kumtetea.Muda huwa unatoa majawabu mazuri sana.
 
It's not about Chama. Hili lipo kila mahala kuwa kuna watu wanapewa hadi nafasi ya kuzungumza kumbe ni vilaza kwelikweli na mfano ndio huo wa Yericko na huyo Ntobi.
Waliyosema ni mawazo yao ya hovyo na sio ya Chadema ndio maana wale wakina Lyaenda na Gwamaka wamewajibu kwa akili sana na very politely.
Kusema hakuna chama hapo ni kukikosea maana wenye akili wameonekana hapohapo.
Ungesema wafuasi wa Mbowe wamejivua nguo hapo sawa.
Sasa hao wengine wameondolewa kwenye mfumo wa chama kisha wakawekwa hao kina Yeriko na Ntobi. Imagine Ntobi ni mwenyekiti wa chama mkoa!
 
Ndio unamjua Leo?

Wajinga wanadhani Yeriko Nyerere anatumiwa na Mbowe la hasha ni kibaraka wa Zitto Kabwe 😂
We nawe ni kama Yericko tu, hapa unatuvuruga ili kubadili mwelekeo!
Shida ya Yericko ambayo mnafanana ni kudhani anajua sana kumbe hajui.
 
Sasa hao wengine wameondolewa kwenye mfumo wa chama kisha wakawekwa hao kina Yeriko na Ntobi. Imagine Ntobi ni mwenyekiti wa chama mkoa!
Ukiondolewa kwenye chama kwa uchaguzi eneo moja unakuwa umeondoka kwenye mfumo wa chama?
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza kwenye mdahalo ambao umeandaliwa na Chief Odemba hivi karibuni, kada wa CHADEMA, Yeriko Nyerere amesema kuwa siku Mbowe akiwa kwenye machela anaumwa ndio siku watamuua kumpumzisha nafasi ya Uenyekiti.

“Tuliyenaye Freeman Mbowe ni Alfa na Omega, kwa mujibu wa katiba yetu siku Mbowe akisema hataki kugombea na tunambeba kwenye machela ndio tutamuweka benchi…”

=========================================================

Swali: Kwa kauli hizI, Yeriko Nyerere ana tofauti gani na wale watu wanaojiita "chawa wa mama" ?

View attachment 3192743
Na sisi CCM hatuiweki benchi mpaka kiama
 
We nawe ni kama Yericko tu, hapa unatuvuruga ili kubadili mwelekeo!
Shida ya Yericko ambayo mnafanana ni kudhani anajua sana kumbe hajui.
Unadhani Dialo ni mjinga kumpandisha Yeriko hapo jukwaani Kwa Odemba?

Mbowe ni lazima ashinde Ili Chadema Ife Kifo Cha Mdondo🐼

Sidhani kama utaelewa 😂😂
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza kwenye mdahalo ambao umeandaliwa na Chief Odemba hivi karibuni, kada wa CHADEMA, Yeriko Nyerere amesema kuwa siku Mbowe akiwa kwenye machela anaumwa ndio siku watamuua kumpumzisha nafasi ya Uenyekiti.

“Tuliyenaye Freeman Mbowe ni Alfa na Omega, kwa mujibu wa katiba yetu siku Mbowe akisema hataki kugombea na tunambeba kwenye machela ndio tutamuweka benchi…”

=========================================================

Swali: Kwa kauli hizI, Yeriko Nyerere ana tofauti gani na wale watu wanaojiita "chawa wa mama" ?

View attachment 3192743
Nadhani hawa ni masalia ama syndcate imesukwa makusudi ili kukidhoifisha chama.

Yaani yanamwagwa mazombie kuonesha utiifu, kumbe ni mission yenye lengo ovu kwa ajili ya maslahi ya kundi flani.
 
Kitendo cha Mbowe kumtumia Yeriko Nyerere Ili kujipatia Utukufu siyo kizuri na ni dharau Kubwa kwa waasisi wa Chadema

Kwamba Mbowe ni Alfa na Omega hii ni kufuru na Uchuro kwa Mbowe family

Mbowe amejishusha sana kwa kutumia Wahuni akiamini ni Majasusi

Bure Kabisa 😄
 
Yule Yeriko mizimu ndiyo inayomzingua....hamjui mwenye Jina la Alfa na Omega.
Ipo siku atakutana naye na atakuja kumkiri kuwa Bwana na mwokozi wake.
 
Ukweli ni kuwa hata wana CHADEMA wenye akili Timamu na wanaojitambua wanatambua ukweli kuwa hakuna CHADEMA pasipo Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini na ukanda huu wa Afrika mashariki Mheshimiwa Freeman Mbowe.
 
Mbowe ataachia madaraka CDM kwa heshima zote na atamuachia ambaye chama kitakuwa kimemuandaa.

Chama hakiwezi kutekwa na wanaharakati wa mitandanoni, kama wanataka siasa waanzishe chama chao.

Kwa sasa Mh. Mbowe anatosha!! hutaki tukutane TLP
 
Atuletee Nicole 😂😂😂
 
Back
Top Bottom