min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Ni ngumu sana kusimama na kumsemea mbowe kwa sasa , hata angekua mtu smart lazima ungemwona kopo tu.Huyu Jamaa nimemdharau sana.Bogus kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu sana kusimama na kumsemea mbowe kwa sasa , hata angekua mtu smart lazima ungemwona kopo tu.Huyu Jamaa nimemdharau sana.Bogus kabisa
Watu waliokuwa wanaamini huyu mnyalukolo ana akili nzuri nawapa pole sana.
Watu waliokuwa wanaamini huyu mnyalukolo ana akili nzuri nawapa pole sana.
Angalau Sasa ukweli umebainika.Zile taasisi ambazo huwa anasema zimempatia tuzo za ushindi wa uandishi bora wa vitabu Afrika hakuna hata moja ambayo huwa inafanya hizo shughuli.Zote taasisi hizo hujihusisha na mambo ya muziki.
Inasikitisha sana..Kumbe huyu mwana hakuna kitu kabisa upstairs
Kutoka kwa Prof. Safari na Prof. Baregu mpaka Yeriko na Ntobi.Chama kina shida. Kutoka mwenyekiti kuzungukwa na mtu kama Prof. Safari hadi kuzungukwa na huyo Ntobi na Yericko unaweza kuona chama kimeharibika kiasi gani.
Na isingekuwa Lissu kugombania hiyo nafasi ya mwenyekiti msingekaa muelewe haya tuliyoyapigia makelele humu miaka yote.
Kwa hiyo mwamba akifa leo na CHADEMA inakufa? Hii ni taasisi au kampuni ya mtu binafsi?😳Ukweli ni kuwa hata wana CHADEMA wenye akili Timamu na wanaojitambua wanatambua ukweli kuwa hakuna CHADEMA pasipo Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini na ukanda huu wa Afrika mashariki Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Ana typical tabia za waliowengi hapa Tanzania.Ni ngumu sana kusimama na kumsemea mbowe kwa sasa , hata angekua mtu smart lazima ungemwona kopo tu.
Mwamba huyu huyu?Ukweli ni kuwa hata wana CHADEMA wenye akili Timamu na wanaojitambua wanatambua ukweli kuwa hakuna CHADEMA pasipo Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini na ukanda huu wa Afrika mashariki Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Huyu jamaa ni taahiraMwamba huyu huyu?View attachment 3193480
Huyo kidampa ni zaidi ya wale wa Mirembe maana akili zake alishakabidhi yeye ni kupewa maelekezo tu anabeba bila kuhoji.Huyu jamaa ni taahira