Tuzo zenyewe mchongo mzima anaandaa yeye mwenyewe. Hivi Yeriko awe mwandishi bora wa vitabu Afrika? Hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa.Zile tuhuma za kuungaunga story na kuiba mada za watu sasa naanza kuziamini
Sasa hao wengine wameondolewa kwenye mfumo wa chama kisha wakawekwa hao kina Yeriko na Ntobi. Imagine Ntobi ni mwenyekiti wa chama mkoa!It's not about Chama. Hili lipo kila mahala kuwa kuna watu wanapewa hadi nafasi ya kuzungumza kumbe ni vilaza kwelikweli na mfano ndio huo wa Yericko na huyo Ntobi.
Waliyosema ni mawazo yao ya hovyo na sio ya Chadema ndio maana wale wakina Lyaenda na Gwamaka wamewajibu kwa akili sana na very politely.
Kusema hakuna chama hapo ni kukikosea maana wenye akili wameonekana hapohapo.
Ungesema wafuasi wa Mbowe wamejivua nguo hapo sawa.
We nawe ni kama Yericko tu, hapa unatuvuruga ili kubadili mwelekeo!Ndio unamjua Leo?
Wajinga wanadhani Yeriko Nyerere anatumiwa na Mbowe la hasha ni kibaraka wa Zitto Kabwe 😂
Ukiondolewa kwenye chama kwa uchaguzi eneo moja unakuwa umeondoka kwenye mfumo wa chama?Sasa hao wengine wameondolewa kwenye mfumo wa chama kisha wakawekwa hao kina Yeriko na Ntobi. Imagine Ntobi ni mwenyekiti wa chama mkoa!
Na sisi CCM hatuiweki benchi mpaka kiamaWakuu,
Akiwa anazungumza kwenye mdahalo ambao umeandaliwa na Chief Odemba hivi karibuni, kada wa CHADEMA, Yeriko Nyerere amesema kuwa siku Mbowe akiwa kwenye machela anaumwa ndio siku watamuua kumpumzisha nafasi ya Uenyekiti.
“Tuliyenaye Freeman Mbowe ni Alfa na Omega, kwa mujibu wa katiba yetu siku Mbowe akisema hataki kugombea na tunambeba kwenye machela ndio tutamuweka benchi…”
=========================================================
Swali: Kwa kauli hizI, Yeriko Nyerere ana tofauti gani na wale watu wanaojiita "chawa wa mama" ?
View attachment 3192743
Unadhani Dialo ni mjinga kumpandisha Yeriko hapo jukwaani Kwa Odemba?We nawe ni kama Yericko tu, hapa unatuvuruga ili kubadili mwelekeo!
Shida ya Yericko ambayo mnafanana ni kudhani anajua sana kumbe hajui.
Mbowe: Chadema ni Kikundi tu Cha watu wanaojitoleaUkiondolewa kwenye chama kwa uchaguzi eneo moja unakuwa umeondoka kwenye mfumo wa chama?
Anawakilisha wafuasi watiifu wa chadema!Kumbe huyu mwana hakuna kitu kabisa upstairs
Nadhani hawa ni masalia ama syndcate imesukwa makusudi ili kukidhoifisha chama.Wakuu,
Akiwa anazungumza kwenye mdahalo ambao umeandaliwa na Chief Odemba hivi karibuni, kada wa CHADEMA, Yeriko Nyerere amesema kuwa siku Mbowe akiwa kwenye machela anaumwa ndio siku watamuua kumpumzisha nafasi ya Uenyekiti.
“Tuliyenaye Freeman Mbowe ni Alfa na Omega, kwa mujibu wa katiba yetu siku Mbowe akisema hataki kugombea na tunambeba kwenye machela ndio tutamuweka benchi…”
=========================================================
Swali: Kwa kauli hizI, Yeriko Nyerere ana tofauti gani na wale watu wanaojiita "chawa wa mama" ?
View attachment 3192743
Atuletee Nicole 😂😂😂Mbowe ataachia madaraka CDM kwa heshima zote na atamuachia ambaye chama kitakuwa kimemuandaa.
Chama hakiwezi kutekwa na wanaharakati wa mitandanoni, kama wanataka siasa waanzishe chama chao.
Kwa sasa Mh. Mbowe anatosha!! hutaki tukutane TLP