Yericko Nyerere: Siku Mbowe akiwa kwenye machela hawezi kutembea, ndio tutamuweka benchi


Kwamba ni Mheshimiwa Mungu!

 
Ukweli ni kuwa hata wana CHADEMA wenye akili Timamu na wanaojitambua wanatambua ukweli kuwa hakuna CHADEMA pasipo Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini na ukanda huu wa Afrika mashariki Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Naona umeacha kuuza Uduvi sasa unabunya fedha za Balozi Michael 😂😂😂
 
Wahuni washatia dola mfuko wa shati pale waliende kukamilisha mchongo,
Mi nilikua najiuliza kweli Akina Lissu na Mbowe walikua na taarifa na watu walioenda kuwawakilisha
 
Wahuni washatia dola mfuko wa shati pale waliende kukamilisha mchongo,
Mi nilikua najiuliza kweli Akina Lissu na Mbowe walikua na taarifa na watu walioenda kuwawakilisha
Wamepelekwa na Mchungaji Msigwa
 
Kuna mtu kabisa amekaa kitako anasoma Kitabu cha huyu Jasusi Uchwara?

Mbona anaongea kama mwehu halafu hana hata logical coherence, point zake za kitoto toto tu, hawezi hata kujenga propaganda yenye nguvu!

Halafu anafanana na Lucas Mwashambwa
 
Hii nchi inachekesha sana

 
Yaani hii takataka, ndio hujiita Jasusi mbobezi! Full of shit
 

Chama kina shida. Kutoka mwenyekiti kuzungukwa na mtu kama Prof. Safari hadi kuzungukwa na huyo Ntobi na Yericko unaweza kuona chama kimeharibika kiasi gani.

Na isingekuwa Lissu kugombania hiyo nafasi ya mwenyekiti msingekaa muelewe haya tuliyoyapigia makelele humu miaka yote.
 
Tumbo tumbo tumbo na njaaa njaaa hvi vitu vilisababisha hata mababu zetu wakauzana kwa wakoloni miaka hiyo
 
Huyu Yeriko kabisa ni graduate? Vitabu vyake ana plagiarise kutoka vitabu vya warusi na kuleta kwenye kiswahili
 
Hilo lijamaa kumbe bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…