Yericko Nyerere: Tofauti ya Usalama wa Taifa, CID na Military Intelligence

Niwaambie kwa nature yetu hapa Tanzania ni ngumu mtu wa kawaida asiyekuwa afisa wa usalama wa TISS na idara ya ujasusi ya JWTZ kukupa taarifa za kueleweka kuhusu majukumu na muundo wao.

Polisi iko wazi ndicho pekee anachokijua kwa sababu kiko pia kwenye katiba na PGO ( police general order).

Kwa level ya jwtz na tiss hata umpe miaka 50 ijayo Yericko hawezi kuleta maelezo ya maana kuhusu intelijensia za jwtz na tiss yenyewe.

Kununua hicho kitabu labda uamue tu kumchangia pesa ya kuishi si kuzielewa hizi mambo.
 
Kila nchi ina makundi yake. USA na Tanzania ni tofauti kabisa. NB: sisemi kuwa ametoa maelezo mazuri au mabaya bali nataka kukuelewesha.
 
πŸ™πŸ™
πŸ™πŸ˜πŸ˜
 
Nimeishia Kusoma pale panaposema CID (Criminal investigation Department) ya Tanzania na FBI (Federal Bureau of Investigation) ya Marekani zinafanana..

Tunapenda sana stori za ujasusi ila hilo Tango pori hapana kwakweli
 
Basi TISS na MI zimeshindwa kazi yake.

Kama Mr Kuku, JATU walipita na pesa za watu na TISS hawakutoa alert kwa watu wanaohusika hadi mabilioni yakaliwa TISS hawana kazi vinginevyo hizo pesa zilimnufaisha Sponsor
Daah
 
Haya sasa yeriko, wenye vyombo vyao wamekuja na hujawapa majibu, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ujasusi nyenyenye....
 
Sasa Kwa departments zoote hizi inakuaje uhalifu unatokea kwamba wahalifu wanaopanga Hadi kuja kutekeleza na kuanza kutafutwa na pengine wasionekane ,why kama Kuna idara zote hizi?

Bora uhalifu wa mtu binafsi lakini wa kupanga na wengine Kwa nini usijulikane?
 
Kama wewe unajua udeep zaidi ungeza nyama au weka uziwako, nimegundua wabongo wa roho za chuki sana, ujuaji mwingi wahead.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…