Yericko Nyerere: Tofauti ya Usalama wa Taifa, CID na Military Intelligence

(Qur'an49:12) Believers, avoid being excessively suspicious, for some suspicion is a sin. Do not spy, nor backbite one another. Would any of you like to eat the flesh of his dead brother?

12. Enyi mlio amini! Jiepusheni na dhana nyingi, kwani baadhi ya dhana ni dhambi. Wala msipelelezane, wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi. Je! Yupo katika nyinyi anaye penda kuila nyama ya nduguye aliye kufa? Mnalichukia hilo! Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kupokea toba, Mwenye kurehemu. 12
 
[emoji706]
 
Elimu uliyotoa hapa,ni very shallow,Haina Cha upekee,labda kwa vijana wenye elimu ya kidato Cha nne kushuka chini.
Mambo ya ujasusi,usalama wa taifa,elimu IPO nyingi mtandaoni.
Ukitaka kujua operations,na jinsi hizi taasisi za national intelligence,military intelligence,police intelligence,ni kusoma vitabu vya historia ya mossad,CIA,kgb,vilivyoandikwa na majasusi wastaafu,au waandishi wa habari wenye upeo mkubwa kuhusu haya mambo,
KGB,tafuta vitabu vya general oreg kalugin,kuhusu FBI,CIA,soma watu kama Edgar Hoover,Au wakurugenzi wastaafu wa CIA,NSA nk.
Miaka ya 90,Elvis Musiba kwenye novel zake za legendary Willy Gamba,alielezea vzr sana operations za kijasusi kuliko unachokieleza hapa!!
Haupo deep bro!!!!
Hapo naona hujamuelewa,,,
Kasome kitabu alichokuelezea ndo utajua,,hapa katoa robo au introduction tuu
 
Niwaambie kwa nature yetu hapa Tanzania ni ngumu mtu wa kawaida asiyekuwa afisa wa usalama wa TISS na idara ya ujasusi ya JWTZ kukupa taarifa za kueleweka kuhusu majukumu na muundo wao.

Polisi iko wazi ndicho pekee anachokijua kwa sababu kiko pia kwenye katiba na PGO ( police general order).

Kwa level ya jwtz na tiss hata umpe miaka 50 ijayo Yericko hawezi kuleta maelezo ya maana kuhusu intelijensia za jwtz na tiss yenyewe.

Kununua hicho kitabu labda uamue tu kumchangia pesa ya kuishi si kuzielewa hizi mambo.
Hilo ndilo tatizo letu,,,angekuwa mzungu tungesema Yuko right,,,,,ivi mnafikiri kajiokotea tuu?
Kafanya utafiti na kwa taarifa yenu hicjo kitabu kimeandaliwa ndani ya miaka 7 mpk 10
Mnaopinga mnawapotosha watu ili wasijue mifumo yetu na ya dunia ya ulinzi na usalama
 
Nimeishia Kusoma pale panaposema CID (Criminal investigation Department) ya Tanzania na FBI (Federal Bureau of Investigation) ya Marekani zinafanana..

Tunapenda sana stori za ujasusi ila hilo Tango pori hapana kwakweli
Ebu tueleze FBI inafanyaje kazi na imetobolewa wapi?
CID inafanyaje kazi na imetobolewa wapi?
Ukijibu Hilo ndo tutajua hapo
 
Kumbe TISS Wana report ikuru Moja Kwa Moja ndio maana Magufuli aliwatumia vizuri sana

Mama na wewe watumie hao hi nchi ukitaka umfurahishe Kila mtu itakushinda unatakiwa uwe unafinya
 
Kumekuwa na mkanganyiko kidogo juu ya tofauti ya Jasusi, Shushushu, Kachero, Mpelelezi nk. Kwenye kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi nimeeleza kwa kirefu zaidi juu ya utofauti wa mambo haya muhimu matatu kwa Tanzania ambayo ni lazima kila mtu ayajue na kuyatofautisha kufuatia mageuzi ya dunia yanayokwenda kwa kasi sasa.

Nasi kama sehemu ya dunia hatutakiwi kuwa nyuma, kwanza tuanze na Usalama wa Taifa (TISS). Pili tuangalie idara ya Upelelezi (CID) na Tatu ni idara ya Intelijensia- Polisi "IO" (Intelligence Officer), naam leo naomba niwape dondoo tu kidogo, mengi yapo kitabuni....

1). Intelligence Officer (Afisa Usalama mfano kwa Tanzania tungesema usalama wa taifa (TISS) chombo hiki hakina mipaka ya utendaji kazi, yaani kazi yake ni ya jumla, inaweza kumulika popote iwe katika Jeshi la Nchi, Polisi na ama katika majeshi yote, iko kwenye kila eneo katika starehe burudani na katika huzuni yenyewe ipo. Haichunguzi mabaya tu bali mabaya na mazuri. Msingi mkubwa utendaji kazi wake ni wakificho unaolindwa kwa sheria kali na ya hatari.

2). Police Intelligence Officer (Afisa Usalama wa polisi, wao wanaita Intelijensia ya Polisi, Hawa ni tofa na idara ya upelelezi makosa ya Jinai. Hii idara iko chini ya Jeshi la Polisi, inafanya kazi sawa na Usalama wa Taifa na inashahabiana kwa kila kitu tofauti ni baadhi ya mafunzo kidogo tu, hii ndio inayohusika zaidi na masuala ya siasa na utawala, Ulinzi wa viongozi, Ujasusi wa kimtandao kwa maana ya kuingilia mawasiliano ya mtu yoyote nchini kwa maslahi ya Taifa, hawa ndio wanaokabiliana zaidi na vyama vya siasa)

3). Kuna idara ya Upelelezi wa makosa ya jinai au kwa lugha ya kitumwa ni Criminal investigation Department (CID) ipo chini ya Polisi nayo. Hii ingekuwa Marekani tungesema ni FBI.

Tofauti ya Usalama wa taifa (TISS) na Intelijensia ya Police (Police Intelligence Officer) ni kuwa Police intelligence officer wanajihusisha na ushushushu na ukachero wenye Ku-establish Element Of Crime.

Wakati TISS wanajishughulisha na kila kitu (personality za watu, tajiri, maskini, uchumi na kuhakikisha ustawi wa nchi kiujumla ikiwa na maana chochote which is likely to happen wawe wanakijua kiwe na madhara au laa). Izingatiwe hawa hufanya kazi zao kwa siri kubwa

Tofauti ya pili kati ya Usalama wa taifa na Intelligence Unity ya polisi ni "WHERE DO YOU REPORT", Police Intelligence Officer huripoti kwa wakuu mbali mbali wa polisi (IGP, CP, RPC,OCDs, OC-CIDs, OCS n.k)

Wakati Intelligence Officer wa TISS kwamjibu wa sheria Tanzania idara iliyoko chini ya ofisi ya Rais na wanawajibika kwa Rais moja kwa moja...ama atakaekasimishwa kupokea ripoti hiyo.

Lakin kimsingi kazi zao na muonekano wao are almost the same, same tactics, etc.

Thereafter kuna CID (Criminal investigation department) idara nyingine ndani ya polisi- hawa siku zote wanashughulika na matukio yakishatokea, kupeleleza kesi na kukusanya ushahidi, husonga mstari wa mbele hasa kwenye matukio ya ujambazi au uhalifu wa kutumia silaha, pia huonekana kwenye kutuliza ghasia wakiwa kiraia lakini wakivalia vest za kuzuia risasi, hao wanajihusisha na ujasusi wa ndani zaidi pia. Hapa sijagusia idara ya Usalama ya Jeshi (MI).

Military intelligence ambayo kwa Tanzania inaitwa Idara ya Utambuzi na Usalama Jeshini (MI) kazi yake kuu ni kukusanya taarifa za kijeshi ndani na nje ya nchi, inafanya utafiti kwa kukukusanya taarifa, kuzichakata, na kuzidurufu zote, Lakini pia inafanya shughuli za kiraia pia ambazo maranyingi huwa zinafanywa na TISS. Hii nayo imewekwa kila maeneo ya nchi kwamaslahi ya nchi in a militias zaidi.

UJASUSI ni baba wa yote hayo hapo juu. Hawa wote kwapamoja wanaitwa MAJASUSI na wanafanya kazi ya UJASUSI chini ya Idara/Taasisi za UJASUSI. Lakini katika fasili stahiki ya kiswahili, Jasusi ni yule afisa usalama anayefanya kazi baina ya nchi na nchi au nje ya nchi yake na hata ndani ya nchi yake lakini kwa maslahi ya nchi nyingine.

Kwaundani zaidi, Soma Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.

Pata kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi popote ulipo kwa gharama ndogo kabisa ya 80,000 tu.

Nunua sasa kwa
0715865544
0755865544
(Yericko Nyerere).

Dar ni Free delivery.
Nje ya Dar nauli ni 8,000

Mkuu, kwa upande wa jeshi kama sikosei kuna kitengo kinaitwa "INT" ama " INTI " kuna jamaa yangu aliwahi kua jeshini ila sijui nini kilimkumba ila kwa story alizonisimulia kuhusu kitengo hicho nilivutiwa nacho sana, ana story nyingi za kuvutia na kusisimua hua natamani kujua kiundani
 
Ungempata atueleze kwa undani, ingependeza tuongeze maarifa zaidi.
 
Ana story nyingi sana ila ndio anaacha gapes sana! Na ukipata swali la kumuuliza majibu yake anaingila huku anatokea upande wa pili na story ingine nzuri, ndio maana nikataka kumuuliza mzee wa ujasusi wa kidola kama ana taharifa na hii
 
Wazi afande..
 
Hata wewe ungeweza kuandika kitabu unaweza kuandika yote uliyofundwa ? Au mnalaumu msichokijua ?
 
Back
Top Bottom