Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Sijafanya, utafiti zaidi, Sina hakika sana kama wana unduguNi nani huyu ni mwandishi au ni mjukuu wa mwl Nyerere?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijafanya, utafiti zaidi, Sina hakika sana kama wana unduguNi nani huyu ni mwandishi au ni mjukuu wa mwl Nyerere?!
Sio kusoma vitabu Rubbish kama za Yeriko, vile sio vitabu ni TAKATAKA zilizojaa Pragalism 😅😅🤣🤣Kusoma vitabu ni Kwa watu wanaotaka maarifa na kujielimisha sio Kwa nyie nyumbu na wajinga mlioehukiwa akili na kibaraka Lisu.
Ameshindwa tuzo mara 2 za Afrika saa wewe umewahi shinda nini zaidi ya kushinda kusifia wajinga na ropo ropo kama kibaraka Lisu?Sio kusoma vitabu Rubbish kama za Yeriko, vile sio vitabu ni TAKATAKA zilizojaa Pragalism 😅😅🤣🤣
Ukielewa maana Pragalism , hivyo vitabu ni takataka ambazo zinafaa kujifutia "MBOJI" ya binadamu.Ameshindwa tuzo mara 2 za Afrika saa wewe umewahi shinda nini zaidi ya kushinda kusifia wajinga na ropo ropo kama kibaraka Lisu?
Wewe nyumbu hakuna umachokijua shida umeshikiwa akili hujitambui 👇👇Ukielewa maana Pragalism , hivyo vitabu ni takataka ambazo zinafaa kujifutia "MBOJI" ya binadamu.
Wewe nyumbu hakuna umachokijua shida umeshikiwa akili hujitambui 👇👇
View: https://x.com/nguchiro47/status/1881700949074608364?t=wc8L8MkyWFXuOqlIsPvosw&s=19
Wewe ni Yericko au ni mkewe?Kwa sababu hamtaki kibaraka Lisu au? Kwani Kuna shida gani baada ya wewe Kugundua hivyo ndio maisha yake yatasimama au?
Punguza shobo za kijinga sio Kila mtu ameshikiwa akili na vibaraka mfano wa Lisu.
Wewe uliyeshikiliwa akili na Kibaraka Lisu za kwako ni zipi?Wewe ni Yericko au ni mkewe?
Mumeo hana akili hata wewe mkewe?
Bwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%.
Bwana Yericko ameenda mbali zaidi Kwa kusema hata nafasi ya kukata rufaa inatakiwa isiwepo Ili bwana Lisu afe taratiiibu bila kurusha miguu 😆😆😆😆
View: https://www.instagram.com/reel/DFFuHlLKp7T/?igsh=Y21qeTFoY3lrMmg5
My Take
Leo kitaumana huko Chadomo