Yerico Nyerere: Jela sio sehemu salama, hakuna aliyekaa jela akabaki na msimamo wake uleule

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Jela sio sehemu salama, hakuna aliyekaa jela akabaki na msimamo wake uleule,

Nampongeza Lissu kwakubadili msimamo wake na kuomba sasa maridhiano ya mezani, Ukikomaa utafia jela ndugu….. Waulize wapinzani wengine Afrika kilichowakuta.

Yuko mtu kwasababu ya uelewa mdogo anaamini kuwa Marekani na Ulaya watakuja kumtoa Lissu pale Ukonga au watakuja kuitoa CCM madarakani na Lissu awe Rais. Hizo ni ndoto za chizi na kuota ndoto kwa kiumbe cha Mwenyezi Mungu sio dhambi….

Ulaya na Marekani wanaangalia maslahi yao, Vyovyote CCM na samia watakachowafanyia watz ilimradi maslahi ya Ulaya na Marekani hayaguswi basi sahauni ndoto zenu, mtaishia kupokea barua za matamko ya kulaani na kusisitiza amani na demokrasia tu. Nakujueni mnavichwa vigumu mtakomaza mafuvu yenu kubisha…

Tulishauri tangu mwanzo kwamba tufanye siasa za maridhiano, tukawaambia kuwa hii ni kesi ya kisiasa, Siasa ndio imemweka jela Lissu, na Siasa ndio itamtoa jela Lissu, kwa lugha rahisi ni kwamba Lissu lindie kafanya Lissu aende jela, na Lissu ndie atafanya Lissu atoke jela. Kwakibri na jeuri ya umamuma wetu mlitutusi mkatuita wasaliti.

Bahati nzuri Lissu akili imemjia kalitambua hili japo kwakuchelewa sana, Tumpongeze na tumtie moyo… karibuni kwenye siasa za kistaarabu za maridhiano kwa maslahi ya Tanzania yetu.

Ushauri wangu kwa Serikali ni kwamba Mahakama iachwe ifanye kazi yake na haki ipatikane, Lissu atatukuta mbele tukiendelea na vikao vya maridhiano au atakuta nchi ilisharidhiana inaendelea vizuri na atafaidi matunda ya maridhiano.

Na Yericko Nyerere

USSR

Screenshot 2026-04-17 205050.png
 
Jela si

Ushauri wangu kwa Serikali ni kwamba Mahakama iachwe ifanye kazi yake na haki ipatikane, Lissu atatukuta mbele tukiendelea na vikao vya maridhiano au atakuta nchi ilisharidhiana inaendelea vizuri na atafaidi matunda ya maridhiano.

Na Yericko Nyerere

USSR
Juu ya yote, lkn yerricko unachuki binafsi na Lissu. Sijui kakufanyia nini chadema hadi umchukie kiasi hichi
 
Jela sio sehemu salama, hakuna aliyekaa jela akabaki na msimamo wake uleule,
Nampongeza Lissu kwakubadili msimamo wake na kuomba sasa maridhiano ya mezani, Ukikomaa utafia jela ndugu….. Waulize wapinzani wengine Afrika kilichowakuta.
Ni wapi Lissu amebadili msimamo wake? Ni lini Lissu alikuwa hataki maridhiano?

Lissu ameendelea na msimamo wake uleule ila CCM ndio mlisimamisha kesi isiendelee kwa visingizio vya kijinga. Hata sasa anataka maridhiano akiwa Huru ili aweze kusimamia misimamo yake bila compromise.

Leo mnaridhiana na Chama ambacho hakijashiriki Uchaguzi wenu wa Mchongo, kwanini msiridhiane na CHAUMA, kwanini msirudishe kesi iendelee kusikilizwa ili muone nani ni mjinga kwenye hili.

"Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake", hili ndio linatokea kwa Mkulu.

Yeriko na Ujajusi wake wa Google, anafikiri atapotosha umma kijinga.
 
Kwanza huyo wakili Kisabo sijui Gesabo, sio msemaji wa chama.
Pili ilikuaje akaenda kumtembelea Lisu gerezani wakati chama hakijui, familia haijui na wanasheria wa Lisu hawajui..!!??
Stuka mkuu, wandewa tushaisoma picha...🙇‍♂️
 
I always knew this guy is incompetent.

Ona sintofahamu yote hii aliyoleta.
 
Kwanza huyo wakili Kisabo sijui Gesabo, sio msemaji wa chama.
Pili ilikuaje akaenda kumtembelea Lisu gerezani wakati chama hakijui, familia haijui na wanasheria wa Lisu hawajui..!!??
Stuka mkuu, wandewa tushaisoma picha...🙇‍♂️
Chadema pia wametoa taarifa hiyo ya Wakili Kisabo sasa wewe nani unamkana Wakili Kisabo?
 
Mipango ya CCM ni rahisi sana kuigundua, wakati wa uchaguzi wa Chadema CCM walikuwa wanataka Mbowe awe Mkiti wakawa wanafamnyia kampeni za wazi kama mnavyotetea kauli ya Kisabo.
 
Jela sio sehemu salama, hakuna aliyekaa jela akabaki na msimamo wake uleule,

Nampongeza Lissu kwakubadili msimamo wake na kuomba sasa maridhiano ya mezani, Ukikomaa utafia jela ndugu….. Waulize wapinzani wengine Afrika kilichowakuta.

Yuko mtu kwasababu ya uelewa mdogo anaamini kuwa Marekani na Ulaya watakuja kumtoa Lissu pale Ukonga au watakuja kuitoa CCM madarakani na Lissu awe Rais. Hizo ni ndoto za chizi na kuota ndoto kwa kiumbe cha Mwenyezi Mungu sio dhambi….

Ulaya na Marekani wanaangalia maslahi yao, Vyovyote CCM na samia watakachowafanyia watz ilimradi maslahi ya Ulaya na Marekani hayaguswi basi sahauni ndoto zenu, mtaishia kupokea barua za matamko ya kulaani na kusisitiza amani na demokrasia tu. Nakujueni mnavichwa vigumu mtakomaza mafuvu yenu kubisha…

Tulishauri tangu mwanzo kwamba tufanye siasa za maridhiano, tukawaambia kuwa hii ni kesi ya kisiasa, Siasa ndio imemweka jela Lissu, na Siasa ndio itamtoa jela Lissu, kwa lugha rahisi ni kwamba Lissu lindie kafanya Lissu aende jela, na Lissu ndie atafanya Lissu atoke jela. Kwakibri na jeuri ya umamuma wetu mlitutusi mkatuita wasaliti.

Bahati nzuri Lissu akili imemjia kalitambua hili japo kwakuchelewa sana, Tumpongeze na tumtie moyo… karibuni kwenye siasa za kistaarabu za maridhiano kwa maslahi ya Tanzania yetu.

Ushauri wangu kwa Serikali ni kwamba Mahakama iachwe ifanye kazi yake na haki ipatikane, Lissu atatukuta mbele tukiendelea na vikao vya maridhiano au atakuta nchi ilisharidhiana inaendelea vizuri na atafaidi matunda ya maridhiano.

Na Yericko Nyerere

USSR

View attachment 3574484

At least umekubali kuwa kuwa ni Wao ndiyo wanaomshikilia na siyo yuko huko kwa makosa ya jinai.

Mama yenu ndiye anaanza kulegeza. Atakwachia tu, atake asisitake. Pia aanze kujiandaa ka Orban.
 
Jela sio sehemu salama, hakuna aliyekaa jela akabaki na msimamo wake uleule,

Nampongeza Lissu kwakubadili msimamo wake na kuomba sasa maridhiano ya mezani, Ukikomaa utafia jela ndugu….. Waulize wapinzani wengine Afrika kilichowakuta.

Yuko mtu kwasababu ya uelewa mdogo anaamini kuwa Marekani na Ulaya watakuja kumtoa Lissu pale Ukonga au watakuja kuitoa CCM madarakani na Lissu awe Rais. Hizo ni ndoto za chizi na kuota ndoto kwa kiumbe cha Mwenyezi Mungu sio dhambi….

Ulaya na Marekani wanaangalia maslahi yao, Vyovyote CCM na samia watakachowafanyia watz ilimradi maslahi ya Ulaya na Marekani hayaguswi basi sahauni ndoto zenu, mtaishia kupokea barua za matamko ya kulaani na kusisitiza amani na demokrasia tu. Nakujueni mnavichwa vigumu mtakomaza mafuvu yenu kubisha…

Tulishauri tangu mwanzo kwamba tufanye siasa za maridhiano, tukawaambia kuwa hii ni kesi ya kisiasa, Siasa ndio imemweka jela Lissu, na Siasa ndio itamtoa jela Lissu, kwa lugha rahisi ni kwamba Lissu lindie kafanya Lissu aende jela, na Lissu ndie atafanya Lissu atoke jela. Kwakibri na jeuri ya umamuma wetu mlitutusi mkatuita wasaliti.

Bahati nzuri Lissu akili imemjia kalitambua hili japo kwakuchelewa sana, Tumpongeze na tumtie moyo… karibuni kwenye siasa za kistaarabu za maridhiano kwa maslahi ya Tanzania yetu.

Ushauri wangu kwa Serikali ni kwamba Mahakama iachwe ifanye kazi yake na haki ipatikane, Lissu atatukuta mbele tukiendelea na vikao vya maridhiano au atakuta nchi ilisharidhiana inaendelea vizuri na atafaidi matunda ya maridhiano.

Na Yericko Nyerere

USSR

View attachment 3574484
Huyu nae eti alikuwa mpinzani kwa madai eti naye anapigania haki za watanganyika,kweli CHADEMA imerudishwa nyuma na wahuni. Huwezi kuwa mpinzani wa serikali huku unapingana na wapinzani wrwe ni nyoka tu
 
Back
Top Bottom