YERIKO NYERERE ADAI WANA YANGA WAMETAPELIWA LEO

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Baada ya simba kuonyesha jezi kwenye mkataba wa m-bet wana utopolo wakiongozwa na kubwa la ma NINCOMPOOPS Alhaji sope takadini zeru square waliwasikitikia sana wanasimba kwamba wametapeliwa kwa kuwa hawakuonyeshwa mkataba wakaishia kuonyeshwa jezi

Sasa ukishangaa ya Pwaguzi albino shangaa ya Pwagu Hersi, leo badala ya wana utopolo kuonyeshwa mkataba wameambulia kuonyeshwa jezi , jingaz kabisa



 
Mleta uzi ni kiazi mbatata kabisa.
Ngoja waje walioshuhudia live wakuonyesha Twisa, Hersi na Simon wakiwa na mikataba, wampelesi we.
 
Yani mkataba wa udhamini simba mliofanya na Mbet simba mnaufananaisha na mkataba wa tender aliyopewa kampuni ya jackson??
wana yanga hawahitaji kuona mkataba wa hiyo tender? hawastahili kujua kilichoandikwa huko ndani?
 
Mleta uzi ni kiazi mbatata kabisa.
Ngoja waje walioshuhudia live wakuonyesha Twisa, Hersi na Simon wakiwa na mikataba, wampelesi we.
Sawa topolo lete vitu lete vitu tunataka tuone mkataba hapa na account ya benki itakayohusika ku process mapato youte ya huu utapeli iwekwe hadharani
 
Lakini kumbuka wenye akili ni wawili tu
 
ila hili la manzoki kwa kweli wananchi tumetapeliwa, wametuaminisha usajili wa manzoki kumbe lilikuwa changa la macho
 
Manyonyo fc mtateseka sana kwa Yanga hii punguzeni ashki majnuni, ndo maana rage alisema nyie ni mbumbumbu
 
ila hili la manzoki kwa kweli wananchi tumetapeliwa, wametuaminisha usajili wa manzoki kumbe lilikuwa changa la macho
Nani Alikuaminisha? Au Unarukaruka Wana Yanga Hawakurupuki Shida Iliyopo Kiongozi wa Yanga Hata Akikatiza Tu Msimbazi Wana Wasiwasi Labda Atasajiliwa Mo
 
Manyonyo fc mtateseka sana kwa Yanga hii punguzeni ashki majnuni, ndo maana rage alisema nyie ni mbumbumbu
Zeru square, alhaji sope takadini linasemaje kuhusu kuonyeshwa jezi badala ya mkataba na account ya benki itakayotumika kwenye utapeli huu uliosainiwa leo?
 

Yerico Nyerere saa ingine anajidhalilisha sana. Anapenda kutafuta kiki za kingese sana

Mleta uzi na wewe chunguzaga vitu kabla ya kuingizwa machaka na mapimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…