Yeriko Nyerere, Peter Madeleka, Salim Mwalimu Na James Mbowe, Je Uchaguzi umeisha?

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Nauliza Mbona Hawasemi Kitu Hawa Wagombea Kwenye Uchaguzi Mkuu Wa 2025...kipi Kimewapata..?

​
 
Hawaamini meno na macho yao kwa ulaghai waliofanyiwa na mzanzibari mwanamke ambaye aliwahaiikishia kukipatia chaumma wabunge 50. Matokeo yake wameambulia 0 bin 0.
 
Hawaamini meno na macho yao kwa ulaghai waliofanyiwa na mzanzibari mwanamke ambaye aliwahaiikishia kukipatia chaumma wabunge 50. Matokeo yake wameambulia 0 bin 0.
Si nimesikia wameàmbulia Segerea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…