YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

Habari ya Weekend Kiranga!
Na wewe umakariri Ile structure na grammar ya sekondari kwamba hakuna waters wala peoples au ile hesabu ya 1+1=2 not otherwise!

"Umakariri" ni kitu gani?

Kiingereza unaweza kusamehewa kwamba ni lugha ya mkoloni, kiswahili nacho?

Wewe ndiye unataka kuwapa ushauri watu kuhusu real estate Tanzania wakati kiswahili kinakupiga chenga?
 
"Umakariri" ni kitu gani?Kiingereza unaweza kusamehewa kwamba ni lugha ya mkoloni, kiswahili nacho?Wewe ndiye unataka kuwapa ushauri watu kuhusu real estate Tanzania wakati kiswahili kinakupiga chenga?
Hivi consultancy ya Real Estate inaendana na competency yako kwenye Kiswahili? Umeishiwa hoja sasa unaanza kutapatapa!
 
Hivi consultancy ya Real Estate inaendana na competency yako kwenye Kiswahili? Umeishiwa hoja sasa unaanza kutapatapa!

One without a basic proficiency of the reigning lingua franca should not title himself a "consultant".

Ukiona naingia kwenye kukusahihisha lugha ujue nishakuvunja kwenye hoja, nimekuuliza maswali hutaki kujibu, sasa kilichobaki ni kukuumbua tu utupu wako.
 

Pole sana Kiranga! hiyo lingua franca unaongelea, kwenye training ni nyingine kwenye service delivery ni nyingine or the combination of both kwa mazingira ya Tanzania! At the end of the day is cash what counts! Hata bid docs zinasisitiza kipengere cha language kina maksi zake, na ndio maana nitakuajiri wewe unayejua lugha ili uipitie tender doc yangu before submission! Always "A" students work for "B" students, au na hili nalo hulijui?
 

Bottom line, hujui communication huwezi kujiita "consultant".

We kajanja tu unataka kula vichwa bila taaluma watu wamekusoma wamekuona mtupu.
 
Poor KIranga! Wakati Consultants wa Kitanzania wamefungua offices Kigali wenyeji walikuwa hawajui Kiingereza wala Kiswahili, na media of communication ilikuwa french au angalau ujue Kinyarwanda, lakini bado watu wameendelea kutengeneza pesa kwa kuweka combination ya local employees, hadi sasa ambapo Kiswahili na Kiingereza kinakuwa!

Likewise, kwa sasa tuna consultants wa Kichina wengi tu hapa Tanzania na bado si Kiingereza ama Kiswahili wanakimudu, still they make money! Kwa akili yako finyu, unafikiri kwenye consultancy delivery ni language zaidi na si service! Na ndio maana nikakwambia kama ni kuandika report yenye credits kwenye language, they are special people to do the proof-reading!Better still, I am not a Lawyer, a Marketer or a PR Consultant! Usifikiri kila mzungu ni Padri, Kiranga!
 
I am not a Lawyer, a Marketer or a PR Consultant! Usifikiri kila mzungu ni Padri, Kiranga!

Hapo ndipo kwenye tatizo.

Ndio maana nilikwambia wewe ni SIFURI.

Yaani hujui kuwa hii thread uliyoweka hapa ni ya marketing na hujui kuwa broker ni MARKETER.

Kama wewe unajiita expert broker halafu at the same time unakiri kuwa wewe sio MARKETER basi there is a huge problem in your cerebral cortex.
 

Come on ZeMarcopolo, punguza kudandia train! Naongela Marketing kama profession! I am not a trained Marketer, na kamwe siwezi kufanya kazi kama Marketing Consultant labda wewe msanii! Na hata hivyo nani kakwambia nafanya marketing? They are people hired to do marketing for me! Akili yako inakutuma kuandika professional article ni kufanya marketing! To you a broker is synonymous to a Marketer! Go back to square one DUDE!
 

Ndio maana nakwambai wewe SIFURI.

Broker is a marketer. Huwezi kuwa expert broker halafu unasema sio expert marketer.

Ndio maana unadhani kwamba kuna mikoa apartments hazihitajiki, kumbe ni wewe ndio hujui jinsi ya kuzimarket apartments kwenye hiyo mikoa.

Tatizo lako kubwa ni ULEVI kazini.
 
Halafu watu wanashangaa kwa nini nchi haiendelei.

Nchi haiwezi kuendelea kama ina brokers wanaoweza kusimama hadharani na kujitangaza kwamba hawawezi kufanya marketing.

Yaani wewe ni sawa na mwanasiasa anayesema kwamba hawezi kuongea mbele za watu wengi!!!
 

Duuuh! Humu JF kweli tuna kila aina ya viumbe! Kumbe all POLITICIANS are POLITICAL SCIENTISTS!!!!!

Wewe unaamini mtu akishakuwa mwanasiasa tayari ana sifa za kuwa mtaalamu wa siasa! Eti EXPERT BROKER ni sawa na EXPERT MARKETER? Wewe ndio msomi unayedai kupata quality education hadi kupondea elimu ya Bongo! Wewe umesoma wapi sijui? Nimekwambia mimi sio Professional Marketer, wewe unalazimisha, au ulikuwa supervisor wangu wa dissertation nini, agriiiiiiiiiii! Nyie ndio kule vijijini mkiona mzungu mnasema, SHIKAMO FAZA, mkifikiri ni Padri!
 
Tatizo lako kubwa ni ULEVI kazini.

Siku niliyokwambia bia yangu inashuka ilikuwa ni jioni ya jumapili, mapumziko ya weekend baada ya uchovu wa wiki nzima! Jioni lazima nipate moja mbili, hiyo kwangu haiepukiki, kama kwako ni dhambi, pole!

Hat hivyo nilikwambia unipe tofauti ya UNYWAJI na ULEVI, na uniambie which is the subset of the other?
 
Halafu watu wanashangaa kwa nini nchi haiendelei.

Watu wa kuiendeleza Tanzania ni watu kama wewe ZeMarcopolo ambaye uko mentally DE-Hydrated? Si bora nchi iwe under contract management!

Nchi haiwezi kuendelea kama ina brokers wanaoweza kusimama hadharani na kujitangaza kwamba hawawezi kufanya marketing.

Yaani wewe ni sawa na mwanasiasa anayesema kwamba hawezi kuongea mbele za watu wengi!!!

Bado unaamini Mwanasiasa ni mtaalamu wa siasa by virtue of being a Politician? Punguza kukurupuka mzee, hoja ilikuwa ni professionalism, wewe unasema broker lazima awe Marketer! Kwa kukusaidia Broker ni Salesman, na nilikupa shule huko nyuma kwamba kuna tofauti kati ya Marketing na Selling!

Kwa Mtazamo wako hata degree za Marketing hazihitajiki!Wakikusikia Marketing Gurus, Philip J.Kotler na Kevin Lane Keller, wanaweza kukuzika ukiwa hai, punguza kudharau professionals za watu!
 

Naona na kazi yako unaanza kuikana. Wewe mwenyewe ndiye umejitambulisha kama broker.

Sasa broker asiyejuwa kufanya marketing sijui akiamka asubuhi anaenda kazin kufanya nini!

Nadhani hujui maana ya marketing ndio maana. Watu kama nyinyi ndio huwa mnadhani kujinyie kwenye kaptula ni tofauti na kujisaidia haja kubwa kwenye kaptula. Aibu uliyojitia kwenye thread hii ni sawa na mtu aliyefanya kitendo hicho kwenye kaptula...

Inawezekana sasa hivi umeshalewa kama kawaida yako, lakini nitajaribu kukufundisha kidogo kwa leo.

Thread yako unazungumzia apartments kutokuhitajika baadhi ya mikoa nchini. Ukisoma comment no. 63 ya kwenye hii thread nimesema kwamba marketing ina nafasi yake kwenye kuchochea mahitaji ya huduma/product.

Wewe unakiri na kujitangaza mwenyewe hadharani kwamba hujui marketing.

Sasa nikuulize, kama hujui marketing, umejuaje kuwa markters watashindwa kuuza apartments mikoani?

Yaani kitendo chako cha kusema apartments hazihitajiki halafu hapohapo unasema hujui kufanya marketing ni sawa kabisa na mtu anayesema eneo fulani la mto haiwezekani kujengwa daraja, halafu at the same time aseme yeye sio mtaalam wa ujenzi wa madaraja!!!
 


Wewe Bure kabisa, unajichanganya mwenyewe? Ni wapi nimekwambia sijui marketing? Nimekwambia mimi sio professional marketer, PERIOD! Kusoma property marketing, hakunifanyi kuwa sawa na mtu aliyesoma marketing as a professional though marketing as much as real estate is concerned naifahamu!

Tatizo hukujua msingi wa hii hoja umeanzia wapi! Mwenzio alisema consultant ni lazima awe competent kwenye Lugha na ndo maana nikampa mifano ya Lawyer, Marketer na PR Consultant, na kwamba siwezi kufanya katika hizo nyanja! Basi mimi ni Lawyer pia maana Real Estate Consultant lazima awe anaelewa Land laws! Jee utaniita mie lawyer?
 

Yaani kwa akili yako unafikiri ukifanya marketing ni sales tosha! Unaweza ukafanya marketing sana lakini sales zikawa zero! Ndio maana nimekwambia jaribu kutofautisha hivi vitu viwili! Try to have time utofautisha hivi vitu! Waulize SASATEL marketing yao waliyofanya iliishia wapi? Umekazania markters watauza apartments bila kujua unaongelea nini! What matters in business is numbers, deal conclusion, sio porojo!
 

Pombe imeathiri kichwa chako totally!

Yaani umesoma property marketing lakini unasema huwezi kufanya professional marketing!

Sasa uliweza vipi kufaulu na kupewa cheti?

Hizi degree za kununua zinaliangamiza taifa!
 

Acha longo longo, swali liko straight forward: kama hujui marketing, umejuaje kuwa markters watashindwa kuuza apartments mikoani?

TCU hawafanyi kazi yao ipasavyo, ndio maana kwenye industry kuna watu SIFURI kama wewe.

In what I do for a living ningekuwa wa level kama yako hata siwezi kuimagine ningejisikiaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…