ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
R.I.P Regia Mtema...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ya Weekend Kiranga!
Na wewe umakariri Ile structure na grammar ya sekondari kwamba hakuna waters wala peoples au ile hesabu ya 1+1=2 not otherwise!
Hivi consultancy ya Real Estate inaendana na competency yako kwenye Kiswahili? Umeishiwa hoja sasa unaanza kutapatapa!"Umakariri" ni kitu gani?Kiingereza unaweza kusamehewa kwamba ni lugha ya mkoloni, kiswahili nacho?Wewe ndiye unataka kuwapa ushauri watu kuhusu real estate Tanzania wakati kiswahili kinakupiga chenga?
Hivi consultancy ya Real Estate inaendana na competency yako kwenye Kiswahili? Umeishiwa hoja sasa unaanza kutapatapa!
One without a basic proficiency of the reigning lingua franca should not title himself a "consultant".
Ukiona naingia kwenye kukusahihisha lugha ujue nishakuvunja kwenye hoja, nimekuuliza maswali hutaki kujibu, sasa kilichobaki ni kukuumbua tu utupu wako.
Pole sana Kiranga! hiyo lingua franca unaongelea, kwenye training ni nyingine kwenye service delivery ni nyingine or the combination of both kwa mazingira ya Tanzania! At the end of the day is cash what counts! Hata bid docs zinasisitiza kipengere cha language kina maksi zake, na ndio maana nitakuajiri wewe unayejua lugha ili uipitie tender doc yangu before submission! Always "A" students work for "B" students, au na hili nalo hulijui?
I am not a Lawyer, a Marketer or a PR Consultant! Usifikiri kila mzungu ni Padri, Kiranga!
Hapo ndipo kwenye tatizo.
Ndio maana nilikwambia wewe ni SIFURI.
Yaani hujui kuwa hii thread uliyoweka hapa ni ya marketing na hujui kuwa broker ni MARKETER.
Kama wewe unajiita expert broker halafu at the same time unakiri kuwa wewe sio MARKETER basi there is a huge problem in your cerebral cortex.
Come on ZeMarcopolo, punguza kudandia train! Naongela Marketing kama profession! I am not a trained Marketer, na kamwe siwezi kufanya kazi kama Marketing Consultant labda wewe msanii! Na hata hivyo nani kakwambia nafanya marketing? They are people hired to do marketing for me! Akili yako inakutuma kuandika professional article ni kufanya marketing! To you a broker is synonymous to a Marketer! Go back to square one DUDE!
Ndio maana nakwambai wewe SIFURI.
Broker is a marketer. Huwezi kuwa expert broker halafu unasema sio expert marketer.
Ndio maana unadhani kwamba kuna mikoa apartments hazihitajiki, kumbe ni wewe ndio hujui jinsi ya kuzimarket apartments kwenye hiyo mikoa.
Tatizo lako kubwa ni ULEVI kazini.
Tatizo lako kubwa ni ULEVI kazini.
Halafu watu wanashangaa kwa nini nchi haiendelei.
Nchi haiwezi kuendelea kama ina brokers wanaoweza kusimama hadharani na kujitangaza kwamba hawawezi kufanya marketing.
Yaani wewe ni sawa na mwanasiasa anayesema kwamba hawezi kuongea mbele za watu wengi!!!
Duuuh! Humu JF kweli tuna kila aina ya viumbe! Kumbe all POLITICIANS are POLITICAL SCIENTISTS!!!!!
Wewe unaamini mtu akishakuwa mwanasiasa tayari ana sifa za kuwa mtaalamu wa siasa! Eti EXPERT BROKER ni sawa na EXPERT MARKETER? Wewe ndio msomi unayedai kupata quality education hadi kupondea elimu ya Bongo! Wewe umesoma wapi sijui? Nimekwambia mimi sio Professional Marketer, wewe unalazimisha, au ulikuwa supervisor wangu wa dissertation nini, agriiiiiiiiiii! Nyie ndio kule vijijini mkiona mzungu mnasema, SHIKAMO FAZA, mkifikiri ni Padri!
Naona na kazi yako unaanza kuikana. Wewe mwenyewe ndiye umejitambulisha kama broker.
Sasa broker asiyejuwa kufanya marketing sijui akiamka asubuhi anaenda kazin kufanya nini!
Nadhani hujui maana ya marketing ndio maana. Watu kama nyinyi ndio huwa mnadhani kujinyie kwenye kaptula ni tofauti na kujisaidia haja kubwa kwenye kaptula. Aibu uliyojitia kwenye thread hii ni sawa na mtu aliyefanya kitendo hicho kwenye kaptula...
Inawezekana sasa hivi umeshalewa kama kawaida yako, lakini nitajaribu kukufundisha kidogo kwa leo.
Thread yako unazungumzia apartments kutokuhitajika baadhi ya mikoa nchini. Ukisoma comment no. 63 ya kwenye hii thread nimesema kwamba marketing ina nafasi yake kwenye kuchochea mahitaji ya huduma/product.
Wewe unakiri na kujitangaza mwenyewe hadharani kwamba hujui marketing.
Sasa nikuulize, kama hujui marketing, umejuaje kuwa markters watashindwa kuuza apartments mikoani?
Yaani kitendo chako cha kusema apartments hazihitajiki halafu hapohapo unasema hujui kufanya marketing ni sawa kabisa na mtu anayesema eneo fulani la mto haiwezekani kujengwa daraja, halafu at the same time aseme yeye sio mtaalam wa ujenzi wa madaraja!!!
Thread yako unazungumzia apartments kutokuhitajika baadhi ya mikoa nchini. Ukisoma comment no. 63 ya kwenye hii thread nimesema kwamba marketing ina nafasi yake kwenye kuchochea mahitaji ya huduma/product.
Wewe unakiri na kujitangaza mwenyewe hadharani kwamba hujui marketing.
Sasa nikuulize, kama hujui marketing, umejuaje kuwa markters watashindwa kuuza apartments mikoani?
Yaani kitendo chako cha kusema apartments hazihitajiki halafu hapohapo unasema hujui kufanya marketing ni sawa kabisa na mtu anayesema eneo fulani la mto haiwezekani kujengwa daraja, halafu at the same time aseme yeye sio mtaalam wa ujenzi wa madaraja!!!
Wewe Bure kabisa, unajichanganya mwenyewe? Ni wapi nimekwambia sijui marketing? Nimekwambia mimi sio professional marketer, PERIOD! Kusoma property marketing, hakunifanyi kuwa sawa na mtu aliyesoma marketing as a professional though marketing as much as real estate is concerned naifahamu!
Tatizo hukujua msingi wa hii hoja umeanzia wapi! Mwenzio alisema consultant ni lazima awe competent kwenye Lugha na ndo maana nikampa mifano ya Lawyer, Marketer na PR Consultant, na kwamba siwezi kufanya katika hizo nyanja! Basi mimi ni Lawyer pia maana Real Estate Consultant lazima awe anaelewa Land laws! Jee utaniita mie lawyer?
Yaani kwa akili yako unafikiri ukifanya marketing ni sales tosha! Unaweza ukafanya marketing sana lakini sales zikawa zero! Ndio maana nimekwambia jaribu kutofautisha hivi vitu viwili! Try to have time utofautisha hivi vitu! Waulize SASATEL marketing yao waliyofanya iliishia wapi? Umekazania markters watauza apartments bila kujua unaongelea nini! What matters in business is numbers, deal conclusion, sio porojo!