YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

Nakusubiri unijibu hoja zangu tuendelee na mjadala, au unatafuta kashfa na matusi?

Hakuna hoja uliyoleta zaidi ya kuuliza maswali.

Siwezi kufundisha mtu asiye na shukurani. Kuna tofauti kati ya mbwa na mbuzi, mbwa ukimpa nyama anatingisha mkia kuonyesha shukurani lakini mbuzi ukimpa majani hana time kabisa na wewe.
Tabia yako ni kama mbuzi, huna shukurani. Watu unaofanya nao kazi lazima watakuwa wameshawahi kukwambia hilo kama wako sincere kwako.

Kama una hoja andika lakini usijaze maswali ambayo hata nikikufundisha hushukuru.

Elezea kwa hoja zako tofauti kati ya marketing na sales kama unavyoielewa halafu mimi na wewe kila mtu alete reference to support our arguments. Lets speak with evidences ili tusirefushe mjadala usiokuwa na manufaa.

Bring your evidences and I will bring mine. Kitu gani hukubaliani nacho nikuletee evidence?
 
Kama una hoja andika lakini usijaze maswali ambayo hata nikikufundisha hushukuru.

Maswali yangu ni kujaribu kupata ufahamu wako kwa unachokiandika, ama unaandikiwa? Sasa wewe mwalimu gani hutaki maswali? Utapimaje uelewa wangu bila kukuuliza maswali?


Evidence ipi unataka, kwani tunaongelea nini? Kuhusu tofauti ya Sales na Marketing si nimekujibu hapo juu, ukaingia chaka, unalalamika eti nakuuliza maswali, jibu basi tuendelee!
 

Naona unanipotezea muda tu.

Huna lengo la kujifunza, unachokifanya wewe ni kubisha tu kitu ambacho inaelekea ni tabia yako uliyozaliwa nayo.

Sitaki kupoteza muda na wewe, nimekutafutia links zinazozungumzia tofauti kati ya sales na marketing. Nimejitahadi kutafuta links toka Mashariki na Magharibi ili nikuache ubishane na Dunia maana watu kama wewe hamshindwi hata kubishana na mlima.

1. Link ya kwanza hii ni ya experts wa India: Difference between Sales and Marketing ?

2. Hii hapa link nyingine inayoelezea swala hilo hilo: 5 Differences Between Sales and Marketing | Becoming Professional: A Blog

3. Experts column pia wameelezea tofauti kati ya sales and marketing kama ifuatavyo: Difference Between Sales and Marketing

4. Hawa hapa ni diffen.com unaweza kuweka vitu vyovyote unavyotaka kucompare watakupa differences zake. Kwenye sales and marketing wanakupa difference hizi: Marketing vs Sales - Difference and Comparison | Diffen

5. Mike Ames naye kwenye blog yake anatoa differences hizi:What's the difference between "sales" and "marketing" and why should you care? | The Mike Ames Business Development Blog

6. Kwenye website ya Arizona Daily Star nao wamesema hivi: Learning the difference between sales and marketing


7. Kwenye Slideshare unapata differences hizi: The Difference Between Marketing and Sales

Nimekufafanulia tofauti kati ya sales na marketing kwa kirefu tena na mifano halisi kwa lugha rahisi ya kawaida. Lengo langu lilikuwa kukujulisha kuwa wewe kwa vile umekiri mwenyewe kuwa huna utaalam wa marketing na kwamba kazi unayofanya wewe ni ya sales basi huna authority ya kusema kuwa kuna mikoa apartments hazihitajiki, kazi hiyo ni ya mtu wa marketing.

Umesema nimeandika PUMBA TUPU. Kauli yako hiyo ni ya kukosa shukurani na kudhihirisha kuwa hauko tayari kujifunza but rather kubishana. Majukwaa ya kubishana yapo lakini sio hili.

Hakuna thamani kupoteza muda na mtu wa aina yako, bishana na DUNIA kwenye hizo links nilizokuwekea.

Kama una references zozote za kupinga hayo niliyoandika ambayo kimsingi ndiyo yanayoelezewa kwenye hizo links basi lete hizo references tuzijadili. Zaidi ya hapo kubishana na wewe inakuwa sawa na kujaza maji kwenye gunia...
 

Hizo link unazotoa ndio zinahitaji shukrani au? Mimi ninasoma vitabu zaidi ya articles!

Nimekuuliza hao watu wa marketing wa kusema apartments zinahitaji ama hazihitajiki, ni muda gani wanafanya hiyo kazi, Before construction, During Construction au After construction? Ningependa unijibu hili swali ili twende sawa, japo janja yako ni kukimbia maswali ukishaona umebanwa!
 

Acha uhuni dogo.

Umesoma article niliyoandika na kuielewa?

Umesoma any of those links?

Swali unalouliza nimelijibu kwenye article yangu na imejibu kwenye kila ya hizo links nilizoweka.

Nimekwambia na kwenye hizo links imeandikwa kuwa mtu wa marketing anafanya designing of the product. Sasa tumia akili yako kujijibu kama designing inafanywa kabla ya ujenzi au baada ya ujenzi. hapo tumia akili angalau kidogo, usitake kutafuniwa na mpaka kumezewa sasa!!!
 
Hizo link unazotoa ndio zinahitaji shukrani au? Mimi ninasoma vitabu zaidi ya articles!


Ukisema tena sentensi hiyo mbele ya wasomi wa dunia ya leo utachekwa na kuonekana mshamba sana.

Wewe unajiita expert!

Expert hategemea vitabu kama source of new knowledge. Expert anategemea articles.

Kitabu unachonunua leo kina materials zilizoandikwa sometimes hata miaka miwili iliyopita. Kwahiyo by the time unanunua kitabu yale unayosoma yanaweza kuwa yameshapitwa na wakati.

Article zinatoka fresh. Kitu kilichogunduliwa kipya kinapatikana kwenye articles sio kwenye vitabu.

Yaani kila unachoandika hapa unadhihirisha kwamba kuna vitu vingi sana vinavyohitaji ufundishwe. Inawezekana wewe hata Masters degree hauna ndio maana your ability to analyse matters iko very limited, lakini wapo watu hawana hata diploma na wana uwezo wa kuanalyse matters quite well, kwahiyo usisingizie your lack of formal eduction.

By the way, taja kitabu ulichosoma kinachozungumza tofauti na haya ninayokwambia kuhusu marketing and sales. Ongea kwa evidences, acha porojo.
 

Nimekwambia nasoma sana vitabu zaidi ya articles! Vitabu viko more details zaidi ya articles! wewe una-base kwenye articles zaidi ndio maana unapotoka!

Katika maelezo yako ni kwamba articles zinakuwa more current zaidi ya vitabu! Kwa hiyo na definition ya Sales na Marketing imebadilika?
 

Article ipi, hizo link ulizocopy au? Bado una imani kwanba chochote unacho-google ndio right kisa kimeandikwa na mtu toka nje? Ila Expertbroker mmbongo mwenzio hawezi kuwa right kwa sababu yu Mtanzania?

Sijaona sehemu inayoelezea ni kwa vipi Marketers wanafanya kazi yao kabla ya ujenzi, na link ya Investors na Marketers kabla ya construction
 

Kwahiyo sababu ya wewe kuaminiwa unataka iwe ni utanzania wako? Support what you say with evidence or at least give an example of a person who ever said the same things? nje ya hapo ni porojo tu...
 

Look who is talking!

Wewe mtaalam wa kufanya plagiarism ndio unasema hayo? Au unadhani tumesahamu tabia yako ya plagiarism?
 
Sijaona sehemu inayoelezea ni kwa vipi Marketers wanafanya kazi yao kabla ya ujenzi, na link ya Investors na Marketers kabla ya construction

Tatizo lako umezoa kutafuniwa kila kitu. Hayo yote unayouliza nimekuelezea tena kwa mfano rahisi kabisa. Na kwenye hizo links pia yapo.

Nimekuandikia hivi,


Kwa sababu wewe ni mlevi, nimekupa mfano wa pombe ili uelewe kirahisi.

Na kwenye link hii Difference between Sales and Marketing ? umeambiwa "Marketing is the process of creating demand for a product in the market whereas sales is refers to fulfilling these demands".

Sasa kama hapo unashindwa kuelewa jinsi mtu wa marketing anavyoweza kufanya kazi yake kabla ya ujenzi kucreate demand ya apartments unadhihirisha tu kuwa marketing is not your field na kwamba huna authority ya kusema apartments hazihitajiki kwa sababu mtu smart wa marketing anao uwezo wa kucreate demand ya apartments mikoani. Akishacreate demand wewe mtu wa sales utafulfill hiyo demand kwa kuziuza hizo apartments.
 
Katika maelezo yako ni kwamba articles zinakuwa more current zaidi ya vitabu! Kwa hiyo na definition ya Sales na Marketing imebadilika?

Wewe kweli SIFURI.

Aliyeleta issue ya article na vitabu ni nani?

Naona una KIFAFA cha hoja. Wewe ndiye uliyeanza kudismiss articles na kusema kwamba unasoma zaidi vitabu.

Sasa hilo swali unalouliza hapa ilibidi ujiulize wewe mwenyewe wakati unasema unasoma vitabu zaidi kuliko articles unategemea hivyo vitabu vitabalisha maana ya sales na marketing? Au umeshalewa tayari asubuhi asubuhi, maana unaandika kitu halafu unakuja kukipinga mwenyewe!!!
 
duh hii mada nimeipenda haswa mpambano huu kati ya zemarcopolo na expertbroker....
 
duh hii mada nimeipenda haswa mpambano huu kati ya zemarcopolo na expertbroker....

Mkuu, ndio uzuri wa JF. Mada haipiti hivi hivi tu, lazima ifanyiwe review. Jamaa kashindwa kudefend thesis hapo...
 
Kwahiyo sababu ya wewe kuaminiwa unataka iwe ni utanzania wako? Support what you say with evidence or at least give an example of a person who ever said the same things? nje ya hapo ni porojo tu...

Wewe ndio umejaa porojo kwa kuamini kitu chochote kinachoandikwa na non-Tanzanian ndo right, a Western Mentality Disease"!

Unataka evidence ya mtu gani wakati mie ndiye nimeenda field na kukuletea data kwamba apartment hazilipi kila mkoa kama ambavyo watu wamekuwa waki-copy na ku-paste (The Type of you), matokeo yake mikradi inaota mbawa! sasa wewe unatka evidence ya Mwandishi kutoka US ama Europe kwamba apartments sio deal kila mkoa ndio utakubali?
 

Tatizo lako unaiongelea marketing in general! Marketing ya Real Estate unai-conclude na Marketing ya bia na sigara!!!!!

Hiyo tabia ya kubeba links tu wakati hoja ni real estate investment katika apartment blocks, nilitegemea u-narrow-down discussion na iwe kwenye topic yetu!

Acha usanii wa kukimbia hoja na kutuletea general issues hapa, lets narrow ourself on the subject matter!

Nimekuuliza role ya Marketer katika construction, Pre-During-Post!!!! Unakazania kuleta link, tumalize hili kwanza
 

umeleta articles za Sales na Marketing kuonesha utofauti, nikakwambia nasoma zaidi vitabu, ukasema articles ziko current zaidi, nikakuuliza ina maana na definition ya Sales na Marketing imebadilika?

Naona unasahau unachokiandika
 
Wewe ndio umejaa porojo kwa kuamini kitu chochote kinachoandikwa na non-Tanzanian ndo right, a Western Mentality Disease"!

Ndio maana nimekwambia kuwa nimetafutia links toka mashariki na Magharibi, kwa sababu ninaona mbali na nilijua tu utakimbilia huku.
See, that is the difference between me and you, mimi nina uwezo wa kuona mbali zaidi na kutake preventive action. Niliona kuwa utaleta hizi porojo nikakuletea links za mashariki na magharibi.

Kama unakikataa kilichoandikwa na non Tanzanian, lete kilichondikwa na Tanzanian to make your case.
 

Twende hatua kwa hatua.

hapo umeandika kitu ambacho kimeonyesha kuwa umeanza kuelewa kidogokidogo. This is a good sign.

Sasa jibu swali hili. Unasema hivi "tatizo lako unaiongelea marketing in general", je, unakubaliana na mimi kwamba marketing in general iko vile nilivyoielezea? If yes, then nitakuelezea jinsi inavyoapply specifically kwenye real estate ili kukupanua akili kidogo. If no, je marketing in general inatofautiana vipi na vile nilivyoielezea?
 

Speaking of copying and pasting, umenikumbusha lile chapisho lako ulilofanya 100% plagiarism.

Kwanza unaonyesha wewe ni kituko cha dunia pale unaposema you are the only evidence of what you are advocating!!! Yaani hapo ni sawa na mwizi anayesema yeye ndio shahidi kuwa hajaiba!!!

Unasema umeingia field na kuleta data. Sijaona data hata moja uliyoleta. Lakini, this is another interesting thing, unaweza kuandika kwa kifupi tu methodology uliyotumia kwenye hiyo "research" yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…