ExpertBroker
JF-Expert Member
- Jun 1, 2009
- 454
- 107
- Thread starter
-
- #421
Excellent.
Je, ni nchi gani na mji gani uliyokaa zaidi ya miezi sita?
Mbona uko desperate sana.
Hakuna kichaa anayekosa wafuasi. We si uliona watu walivyojazana Loliondo? Does that make kikombe cha babu genuine? Usiwe mjinga dogo, mtu kukuunga mkono wewe haifanyi hoja yako iwe na mashiko, hoja yako inakuwa na mashiko kama hoja hiyo imetetewa kwa evidence.
Unataka details gani wakati basics hujui? That is your problem unakimbilia details wakati hujaelewa basics matokeo yake unakuja kuandika vituko hapa JF.
Ina uhusiano gani na apartments kujengwa mikoani? Vipi specific marketing ya real Estate ulosema kutoa lecture imeishia wapi?
Basics ipi? ya link ulizo-google na kuishia kutoa mifano ya kuuza sidara na bia wakati tunaongelea Real Estate? Basics ipi? Toa mifano basing on our topic!
Nimekusoma! Kwanza inabidi uelewe kwa nini apartments?
Vertical development imetoka na uhaba wa ardhi hasa kwa mijini kushindwa ku-accommodate the growing population, then kupata highest and best use ya land, wataalamu wa mipango miji waka-adopt vertical development! In this case unakuwa na units nyingi, and so familia nyingi zaidi kutegemea how much you want to go vertically katika ardhi ambayo mtu angejenga nyumba ya familia moja au mbili!
Huo ndio msingi wa kuwa na apartments na wa si suala la nchi gani eti watu wanapenda apartments zaidi ya standalone units! Ndio maana nikasema je, ni mikoa yote tunahiyaji hizo apartment na kibiashara zinalipa?
Ni kwasababu hiyo ya apartments kuendelea kuwa nyingi zaidi na kuwa rahisi kuishi ulinganisha na standalone kwa Europe na USA kwa mfano, unakuta zinakuwa na classes tofauti, some are normal apartments and some are executive apartments! Some have a gated community with a lock-up and go environment, and some have all the facilities under one roof, and that people can develop socialization!
Tatizo lako lingine ni SHORT MEMORY.
Post yangu ya kwanza kabisa kuandika katika hii thread iko ukurasa wa kwanza, fungua usome nimeandika hivi:
Unaona jinsi ulivyo na kumbukumbu fupi. Sasa nionyeshe ni wapi nimesema apartments zikijengwa popote pale zinalipa.
Mwandishi wa article yuko out of touch na reality.
Huwezi kusema mikoani ardhi iko plenty!!! This is ridiculous...
Nyumba ni tofauti na kilimo, huwezi kujenga sehemu nyumba kwa sababu tu kuna ardhi. Thamani ya nyumba ina uhusiano wa moja kwa moja na mahali nyumba hiyo ilipo.
Mtu akiwa na kiwanja cha sq. m 1200 downtown na heka 30 kijijini ni faida zaidi kwa mfanyabiashara huyo kujenga appartments downtown kulilo kwenda kujenga nyumba kwenye eneo kubwa la kijijini.
Kusema kuwa maeneo kama Morogoro watu hawahitaji apartments pia sio ukweli. Kuna familia zinaishi miaka mingi kwenye maghorofa ya msajili wa majumba Morogoro, je famili hizi zisingependa apartments hizo ziwe mali yao?
Speaking of Kibaha, Kuna appartments ambazo sasa hivi zimeuzwa na NHC. Walionunua wako happy tu kuwa now they own the place they live.
Let the forces of demand and supply play their part...
Ndio ueleze ni wapi zinalipa na wapi hazilipi?
Mimi naongelea investment ya apartments wewe unaongelea watu kuuziwa majengo ya msajili!
Nieleze for a fresh investment na utupe hiyo marketing strategy yako ya kuuza hizo apartments
Acha maneno mengi yasiyojibu swali uliloulizwa:
Taja nchi ambayo watu wake wanaprefer apartments to detartched homes.
Ukishindwa kujibu hili hujaqualify kujiita expertbroker nitawaomba MODs wabadilishe jina lako liwe KanjanjaBroker.
Sasa dogo,
Kama ya msajiri yamepata wateja kwanini useme apartments hazihitajiki? Mtu smart angesema kukubaliwa kwa majengo ya msajiri ni ishara kwamba apartments zinaweza kuapa wateja.
By the way hiyo post niliiandika tangu ukurasa wa kwanza. Usirudishe mjadala nyuma unnecesarily, nimeiletea kukumbusha tu tulipotoka maana ulionyesha kusahau kabisa.
Nimekupa jibu kwa mapana zaidi ili nikusaidie! Na nimekupa vigezo vya kwa nini watu si tu wapende au wasipende apartments!
Haps sio suala la nchi, ni miji yoyote ambapo crime rates zinakuwa juu, na hivyo kwa purpose ya security watu wana-prefer kuisi kwenye gated community ambapo mtu akifunga unit yake anaweza hata akasafiri, a lock up and go environment
natoka nitarudi baadae
Hold on a second, gated community na apartment ni vitu viwili tofauti. Usichanganye mambo dogo. Ndio maana nimekuuliza umeshawahi kuishi wapi na wapi duniani? Usisome tu maneno na kujenga picha za kimanzese manzese.
Ebu tuwekane sawa kwanza, unaelewa maana ya gated community?
Kama umesoma hiyo post niliyoweka na umeendelea kushindwa kuelewa basi pombe imeshauharibu ubongo wako beyond repair!!!