YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

Ukweli ni kwamba, hata kama watu wa hizo nchi ni Waarabu, nchi zao ziko barani Afrika pia na ndiyo maana hata kwenye muungano wa nchi za Afrika zina uanachama. Afrika nayo iko diverse. Siyo ya watu weusi tu.

Tunisia ilipata uhuru wake tarehe 20 mwezi Machi 1956. Na Jamhuri ya Sudan ilipata uhuru wake tarehe 1 mwezi wa Kwanza 1956 na AU inalitambua hilo kama waonyeshavyo kwenye tovuti yao hapa.

If AU is the standard, then AU does not recognize Morocco as a member state. By your line of thought, does that make Morocco "African" or not?

Kwa sababu kama unaenda kwa nchi zinazotambuliwa na AU, Morocco is not African even as it is geographically connected to the continent.

Na kama unaenda na continental affinity na kusema Morocco iko Africa, basi hiyo AU recognition si litmus test.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri alishawahi kuzuru Tanzania enzi za Nyerere, akamwambia Nyerere "Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kufika Africa".

Nyerere akamuangaliiiiaaaa, akasema "thing ni**er is probably still stuck in the Roman Empire thinking Egypt is a province of Rome and hardly in Africa"
 
Wewe ndio unaleta siasa wenzio wanazungumzia masuala ya OPTIMAL LAND UTILIZATION!!! Sasa wewe buku 7 unafikiria mambo ya ubunge wa magamba Kilosa!!

zemarcopolo umezidiwa hoja tulia vijana wanapangua hoja ki staarabu na kisomi nimependa

Tatizo lenu kubwa ni kushindwa kujua kuwa kila kitu na mahala pake.

Endeleeni kusoma huu mjadala kwa manufaa zaidi.
 
Hupasi kuuliza maswali zaidi ya kutoa majibu kutetea hoja yako.

Twende kwenye mfano wa Chalinze.

Unasema Chalinze kujenga maghorofa was a bad decision. Sasa lets say pale Chalinze kuna apartments 30. Je, are you convinced that iwapo zingejengwa nyumba za chini 30 katika eneo lilelile ingekuwa ni better decision? why?

Je, kuna nini kinachokosekana sasa hivi kwenye maghorofa ya Chalinze ambacho kingepatikana iwapo zingekuwa ni nyumba za chini?

Ninashindwa kuelewa uwezo wako ZeMarcopolo wakati nimeeleza kwenye thread yangu ni kwa nini preference iko kwenye stand alone home ukilinganisha na flats, lakini bado maelezo yako you dwell on a different direction. Apartments au stanalone Chalinze zinalipa lakini, je target ni nini na mimi hoja yako iliongelea nini? Inawezekana kabisa unachokishikia bango haikuwa hoja yangu, unless you just want to keep the ball rolling!

Nguzo ngapi za umeme zingehitajika kusambaza umeme kwenye nyumba 30?

Mita ngapi za mabomba zingehitajika?

How much more sq. m. of land zingehitajika in comparison to ghorofa?

Gharama za ulinzi wakati wa ujenzi na baada ya ujenzi zingeongezeka kiasi gani?

You still dwell on a different subject DUDE!

Kama unajiita expert inatakiwa uwe na uwezo wa kujibu hoja na maswali na sio kuuliza maswali ambayo kimsingi wewe ndiye unayetakiwa kujibu. Ingawa research uliyojifunza imekwambia asilimia 50 ndio limit of statistical significance lakini inabidi ufanye revision kwa sababu inawezekana aliyekufundisha hivyo alikuwa anamaanisha kwenye uchaguzi wa viongozi wa kisiasa.

Nchi yetu ina wananchi mil. 45! Ukiwa na product inayopendwa asilimia 10 tu ya raia/wakazi wanaoweza kumudu kuinunua basi una potential customers mil. 4.5. Hawa ni wengi kuliko mara mbili ya population ya Namibia. Kwahiyo inabidi ujifunze kufikiria kwamba unapokuja JF hauji kufundisha watu, ila unakuja kujadili. Kuwa tayari kutoa na kupokea taarifa. Mawazo yako yako kijamaa kwamba mtu anayejenga nyumba inabidi atarget watanzania wote mil. 45. You dont need wateja mil. 45. Just potential customes laki tano tu wanatosha kufanya biashara ya nyumba iwe na mafanikio. Kwahiyo cha msingi ni kuidentify what exactly they need na kujua jinsi ya kukimarket.

Ngoja nikuulize swali la nyongeza. Hivi unajua kuwa watu wangapi sasa hivi wako Marekani, Canada, Ulaya, Australia, Japan, America ya Kusini na Asia ambao wanataka kupangisha nyumba Katavi? Ukiona watu hawaji Katavi au SImiyu kutoka kwenye nchi hizo usifikiri kuwa hawana demand ya kuja, kuna uwezekano wengi wameahirisha kuja simply because hakuna apartments au kwa sababu hakuna satisfactory information/marketing on the internet about those places!!!

You need to widen your vision...

Ninaona kila nikikupa mfano unachukulia ndio overall conclusion, that is why I still doubt your Intelligent Quotient, I am sorry, I am finding difficult to keep arguing with you DUDE! Who's minds should be stretched then?
 
If AU is the standard, then AU does not recognize Morocco as a member state. By your line of thought, does that make Morocco "African" or not?

Africa is a geographical name of the continent south of the Mediterranean sea. A continent is a large land mass of the earth. Within that land mass are independent countries of which Morocco is one of them.

So my standard is not the AU. I just used it as an example to emphasize my earlier point that Ghana is not the first African country to gain independence (from colonial rule) in Africa as we were taught in school. How can it be when Sudan, for instance, gained its independence in 1956, a year before Ghana?

Therefore, whether the AU does or does not recognize Morocco as its member is really neither here nor there because the AU does not determine who is African and who is not.

Kwa sababu kama unaenda kwa nchi zinazotambuliwa na AU, Morocco is not African even as it is geographically connected to the continent.

Na kama unaenda na continental affinity na kusema Morocco iko Africa, basi hiyo AU recognition si litmus test.

Nadhani hapo juu nimeeleza vizuri. Uanachama wa AU hauamui nchi gani ni ya Kiafrika na nchi gani siyo.

Historia haifundishwi vilivyo mashuleni mwetu. Mimi hiyo ya Ghana kutokuwa nchi ya kwanza kupata Uhuru Afrika sikufundishwa shuleni. Nilijifunza mwenyewe tu kwa kusoma mivitabu ya mdingi nyumbani!

Hebu jaribu tu hata wewe kuwauliza washikaji zako wawili watatu kuhusu ni nchi gani ya kwanza Afrika kupata uhuru halafu uone watakavyokwambia.
 
Toa shule watu waondoe ukoko wa mawazo ya mwaka 1947.

At this point, one would be excused to think that this self appointed "expertbroker" joke is a redundant disillusioned ex-army barrack gun cum smalltime broker wannabee who is bitter because people with money and larger projects are taking away all his business prospects.

It's not like we haven't given him an opportunity to refute this circumstantial notion.

Tatizo ni kujiita ExpertBroker au? Mbona watokwa na povu jingi sana Kiranga? Do not think every argument can be a theory! I am not an idiot or trolling. It seems there are many "theories" in science that are very well supported so I ask this question, "What makes something a "fact" in the science world? How does a "theory" differ even if it is well supported?".
For example: Why is continental drift a theory and not a fact?
 
Africa is a geographical name of the continent south of the Mediterranean sea. A continent is a large land mass of the earth. Within that land mass are independent countries of which Morocco is one of them.

So my standard is not the AU. I just used it as an example to emphasize my earlier point that Ghana is not the first African country to gain independence (from colonial rule) in Africa as we were taught in school. How can it be when Sudan, for instance, gained its independence in 1956, a year before Ghana?

Therefore, whether the AU does or does not recognize Morocco as its member is really neither here nor there because the AU does not determine who is African and who is not.

Nadhani hapo juu nimeeleza vizuri. Uanachama wa AU hauamui nchi gani ni ya Kiafrika na nchi gani siyo.

Historia haifundishwi vilivyo mashuleni mwetu. Mimi hiyo ya Ghana kutokuwa nchi ya kwanza kupata Uhuru Afrika sikufundishwa shuleni. Nilijifunza mwenyewe tu kwa kusoma mivitabu ya mdingi nyumbani!

Mkuu Nyani Ngabu, nafikiri Kiranga na ZeMarcopolo ni twins, maana wanashindwa elewa msingi wa hoja na ku-capitalize mfano unaotoa as if ndio main theme ya subject matter! Ndio maana nikaita ubishi wa Simba na Yanga! Inaonesha ni waumini wa wanachokiamini na si facts on the ground, the unchallenged ones!
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri alishawahi kuzuru Tanzania enzi za Nyerere, akamwambia Nyerere "Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kufika Africa".

Nyerere akamuangaliiiiaaaa, akasema "thing ni**er is probably still stuck in the Roman Empire thinking Egypt is a province of Rome and hardly in Africa"

Tatizo nadhani labda ni kwa sababu watu wanaihusisha Africa na watu weusi tu (sijui hata weusi ni kina nani hasa maana kwani Wasomali na Waethiopia nao ni weusi? Wadinka je?). Afrika iko ethnically diverse kama sehemu zingine tu.

Mbona Asia iko diverse - I mean, hebu angalia tu tofauti ya ethnicities za eastern na southern Asia.
 
Legion like the demons across from Capernaum
Exposing closet communism like Applebaum
Yet individual, neither borg nor doppelganger
No false pretence like Carlos Danger

Wengine wote wa JF. Did you look at what you wrote? Was that a statement or a question? Do you know the difference between a statement and a question? Do you know the bare basics of writing?

JF ni nani? Ina mapembe? Miguu je? Mingapi?

JF ipo kwa ajili ya wote, ndiyo maana when you come you better come correct kwa sababu utaulizwa chochote na yeyote. Sasa wewe hujatujibu kwa nini watu waache kufuatilia market forces na wakusikilize wewe. Sijaona jibu la swali hili bado.

I consider tenure and what it offers as intellectual insecurity, not security.By virtue of my stoic adherence to facts and not some ancient cursus honorum. If you would take the trouble to read my post you would see that.

Ghadhabu yangu hujaiona bado kwa sababu huna posts zenye akili inayotakiwa kunigadhibisha. Na kati yangu niliyekuuliza kwa nini tukusikilize wewe badala ya the forces of the market on the ground na wewe ambaye hujajibu maswali ila umerukia ad hominem attacks, nani anaendekeza ushabiki hapa?

Kwa kujenga na kuangalia reaction. Biashara yoyote ina involve risk.You can write all you want, lakini huwezi kujua ukweli mpaka ujenge na kuangalia reaction ya market. Kamsome Schwarzenneger katika "Total Recall" anavyozungumzia the challenges of starting a real estate venture with overanalyzing prospects. Schwarzenneger angetaka kupata a sure deal asingekuwa the real estate mogul he is today. Kwa nini unakataa watu ku test the waters wakati hamna hata research ya maana ya kujua purchasing power ikoje katika nchi ambayo the forces of the informal and unmeasurable economy are as big as those of the formal one, if not even bigger?

Kwa kuangalia inevitable growth trends. Angalia picha ya downtown Dar 1963 na 2013. Just because you are myopic, do not think everyone is just as myopic as yourself.

Hujanionesha ni kwa nini nikubali.

Hujanionesha ni kwa nini wewe una authority kuliko nguvu za soko.

Unajuaje kwamba mimi si institutional investor? Hunijui lakini ushanihukumu kwamba mimi si institutional investor.

Unajuaje kwamba sina interests zangu katika parastatals zinazonipa sababu ya kuongelea hili?

Wapi umesema kwamba unaongelea institutional investors na parastatals katika original post yako? Umeongelea "including institutional investors and parastatals", does that exclude the rest? Throughout my post nime stress kuonesha kwamba nime base kwenye watu "wanaotumia hela zao", hujaliona hilo?

Au unataka watu waingie kichwani mwako na ku divine?

What has that got to do with building apartments? Nimeongelea adherence to the building code hapo juu. I respect planning and adherence to the building code.

Kuna mahala apartments zinakatazwa na hiyo planning na codes watu wakajenga apartments kinyume na hiyo planning na code? Tutajie.Maana if this is your issue then you failed to express yourself.

I can hardly chew where there is nothing but thin air, not even algae or aerial bacteria.

Talking about the gun while you don't even have a catapult.

A skill you obviously lack, you can't even observe the market and base your input on that observation. At least I do caution that we defer to the forces of the market.

Your unfounded conclusion, whose interests are not fully understood, are the number one irrational entity in this thread.

You need more than that to influence some of us, you need to exercise your brain membranes.

Kama hamna tatizo umeandika kutoa ushauri wa nini sasa?

Kama ushauri wangu hauna inputs kweako unawashwa nini mkuu, kwani JF ni wewe tu? Mbona nimepata PMs za kutosha hadi inbox inaoverflow, au inakuuma unapoona likes zinadondoka? Nimejifunza kitu kimoja katika hotuba ya JK ya mwisho wa Mwezi akiongelea ishu ya Kagame....."Ushauri si shuruti, ushauri si amri. Una hiyari ya kuukubali au kuukataa bila kutukana wala kusema maneno yasiyostahili" Ni ngumu sana kila mtu kuandika kitu ambacho kitakufurahisha wewe!
 
Tatizo ni kujiita ExpertBroker au?

Tatizo hujajibu maswali. Experts hawajiiti hivyo wenyewe, wanaitwa na wengine. Ukiona mtu analazimisha kujiita/ kuitwa expert hapo kuna matatizo ya kujielewa na kujipaza.

Mbona watokwa na povu

Hapa Daresalama imekutana na msala wa Dharamsala, povu lenyewe likiniona linatokwa povu nilivyo impregnable with povu.

jingi sana Kiranga?

Jingi sana lita ngapi?

Do not think every argument can be a theory!

Kati yangu mimi ninayesema watu wajenge waangalie reaction ya market na wewe unayeandika bila hata research kwa kusingizia "utamaduni" kama utamaduni haubadiliki, nani anaendekeza theory?

Unajifunga kwa sheria zako mwenyewe sasa!

I am not an idiot or trolling. It seems there are many "theories" in science that are very well supported so I ask this question, "What makes something a "fact" in the science world? How does a "theory" differ even if it is well supported?".

What is your margin of error?

For example: Why is continental drift a theory and not a fact?

What is your margin of error?
 
Ninashindwa kuelewa uwezo wako ZeMarcopolo wakati nimeeleza kwenye thread yangu ni kwa nini preference iko kwenye stand alone home ukilinganisha na flats, lakini bado maelezo yako you dwell on a different direction. Apartments au stanalone Chalinze zinalipa lakini, je target ni nini na mimi hoja yako iliongelea nini? Inawezekana kabisa unachokishikia bango haikuwa hoja yangu, unless you just want to keep the ball rolling!

You still dwell on a different subject DUDE!

Ninaona kila nikikupa mfano unachukulia ndio overall conclusion, that is why I still doubt your Intelligent Quotient, I am sorry, I am finding difficult to keep arguing with you DUDE! Who's minds should be stretched then?

Tatizo ni kujiita ExpertBroker au? Mbona watokwa na povu jingi sana Kiranga? Do not think every argument can be a theory! I am not an idiot or trolling. It seems there are many "theories" in science that are very well supported so I ask this question, "What makes something a "fact" in the science world? How does a "theory" differ even if it is well supported?".
For example: Why is continental drift a theory and not a fact?

Naona umeendelea kuuliza maswali badala ya kujibu hoja na maswali. Huu u expert wako wa kuuliza maswali zaidi ni aina mpya ya u expert. Mimi ninajua expert ni mtu anayetoa majibu ya maswali sio kinara wa kuuliza maswali.

Tatizo lako lingine unafikiri kueleza tu inatosha. Je, hii ni lecture? Kama ni lecture basi ungedisable comments, lakini as long as comments ziko open basi maswali na hoja zilizoibuka au more appropriately ulizochochea ziibuke zitajadiliwa.

Umerudia tena kusema standalones ndio preference ilipo, lakini umekosa hoja ya kusubstantiate hilo. Tuna mfano live wa Chalinze. Kama umeshindwa kudemonstrate how would standalones be more marketable in Chalinze than the existing apartments, kwanini unalazimisha hilo kuwa applicable elsewhere?

By the way, do you have a case study?
 
Penye RED, mbona umeikomalia Chalinze kama ndio case study? Labda nikueleze tu si economically wrong kujenga apartment mahala popote pale Tanzania, but when? Ndio maana imeongelewa sana DD na SS! Huwezi tu kujenga alimradi ni kujenga! Hivi badi hukubali kwamba kwa Tanzania hii badko kuna sehemu ambako apartments zinaweza kulipa kama investor na kuna sehemu zinaweza kluwa white elephants?

Penye BLUE, case study ipi nikupe ZeMarcopolo, mifano niliyikupa ya Kiseke ya PPF, Shinyanga PSPF na Kinyerezi NSSF hukutaka kuielewa ukisema nauliza zaidi maswali
 
Kama ushauri wangu hauna inputs kweako unawashwa nini mkuu,

First you fail to notice that JF is more than just Kiranga vs ExpertBroker by the very premise of this question.

kwani JF ni wewe tu?

Then you lackadaisically point a question that contradicts your failure above.

JF si mimi tu. Kuna wengine wanasoma. This is precisely the reason nikiona upuuzi unaandikwa siwezi kuunyamazia.

Mbona nimepata PMs za kutosha hadi inbox inaoverflow,

Tutaamini vipi? Tutajuaje kwamba unasema kilicho au kisicho? Kuna siri gani hapa ya ku PM? Mnachumbiana humo kwenye PM au vipi?

au inakuuma unapoona likes zinadondoka?

I am an equanimous stoic who budges for neither likes nor dislikes. Kupenda sana likes utafanywa vibaya.

Nimejifunza kitu kimoja katika hotuba ya JK ya mwisho wa Mwezi

No wonder we are not on the same wavelength, wewe unajifunza kutoka kwa JK leo, wakati wengine tumemfundisha JK alivyoingia Foreign na Dim, kumwambia "water closet" ni nini, diplomatic etiquette na decorum ni nini, kumpa historia za ofisi kutoka Chediel Mgonja, Ibrahim Kaduma, Joseph Rwegasira mpaka Benjamin Mkapa et cetera et cetera.

akiongelea ishu ya Kagame....."Ushauri si shuruti, ushauri si amri. Una hiyari ya kuukubali au kuukataa bila kutukana wala kusema maneno yasiyostahili" Ni ngumu sana kila mtu kuandika kitu ambacho kitakufurahisha wewe!

Hujajifunza bado, kwa maana unalazimisha ushauri wako kukubalika hata pale unapoonekana kuwa ni pumba tupu.
 
Tatizo hujajibu maswali. Experts hawajiiti hivyo wenyewe, wanaitwa na wengine. Ukiona mtu analazimisha kujiita/ kuitwa expert hapo kuna matatizo ya kujielewa na kujipaza.

Hapa Daresalama imekutana na msala wa Dharamsala, povu lenyewe likiniona linatokwa povu nilivyo impregnable with povu.

Jingi sana lita ngapi?

Kati yangu mimi ninayesema watu wajenge waangalie reaction ya market na wewe unayeandika bila hata research kwa kusingizia "utamaduni" kama utamaduni haubadiliki, nani anaendekeza theory?

Unajifunga kwa sheria zako mwenyewe sasa!

What is your margin of error?

What is your margin of error?

Penye RED, Nilijua hilo ndilo linakukwaza na bora umelitolea ufafanuzi kuonesha ni kwa vipi unakwazika! Lakini JF inatoa option ya kubadili jina, unaweza jiita lolote na wewe, au lako la Kiranga uliitwa ndio ukalitumia?

Penye BLUE, hapa ndio nahisi kuna kutoelewana! Mimi sijasema watu wasiangalie market reaction, labda wewe unajaribu ku-argue academically! Nimefanya research ya hii kitu hadi naleta huu mjadala hapa Jamvini na ndio maana nikatoa mifano ya mikoa, kama hutaki siwezi kukulazimisha ukubaliane na research yangu! Na ndio maana nilimwambia ZeMarcopolo kwamba kama apartment cost of construction per square metre iko chini, iweje PSPF kule Shinyanga haikujenga apartments, PPF Kule Kiseke Mwanza haikujenga apartments, NSSF Kule Kinyerezi haikujenga apartments, TBA kule Boko haikujenga apartments au Mutual Developers kule Kigamboni haikujenga apartments?
 
Penye RED, mbona umeikomalia Chalinze kama ndio case study? Labda nikueleze tu si economically wrong kujenga apartment mahala popote pale Tanzania, but when? Ndio maana imeongelewa sana DD na SS! Huwezi tu kujenga alimradi ni kujenga! Hivi badi hukubali kwamba kwa Tanzania hii badko kuna sehemu ambako apartments zinaweza kulipa kama investor na kuna sehemu zinaweza kluwa white elephants?

Sasa naona umeanza kupata some senses...
 
So basically.

This self appointed "ExpertBroker" starts theorizing about why should investors stop to build apartments in the "provinces".

Being the ever market pragmatists,I am telling this ExpertBroker "theorizing does not have the authority of the actual forces of the market, let investors be informed by the market".

And his retort is simply "stop theorizing". Forgetting with selective amnesia that he is the one theorizing.

This is the gist of the thread so far, minus the sometimes distracting details, if you don't have the time to go through all the posts.
 
First you fail to notice that JF is more than just Kiranga vs ExpertBroker by the very premise of this question.

Then you lackadaisically point a question that contradicts your failure above.

JF si mimi tu. Kuna wengine wanasoma. This is precisely the reason nikiona upuuzi unaandikwa siwezi kuunyamazia.

Tutaamini vipi? Tutajuaje kwamba unasema kilicho au kisicho? Kuna siri gani hapa ya ku PM? Mnachumbiana humo kwenye PM au vipi?

I am an equanimous stoic who budges for neither likes nor dislikes. Kupenda sana likes utafanywa vibaya.

No wonder we are not on the same wavelength, wewe unajifunza kutoka kwa JK leo, wakati wengine tumemfundisha JK alivyoingia Foreign na Dim, kumwambia "water closet" ni nini, diplomatic etiquette na decorum ni nini, kumpa historia za ofisi kutoka Chediel Mgonja, Ibrahim Kaduma, Joseph Rwegasira mpaka Benjamin Mkapa et cetera et cetera.

Hujajifunza bado, kwa maana unalazimisha ushauri wako kukubalika hata pale unapoonekana kuwa ni pumba tupu.

Penye RED Nina-doubt your Intelligent Quotient, PM ni kwa ajili ya kutongozana?

Penye BLUE, kwa hiyo ukimfundisha mwanafunzi kama Ass. Lecturer akapata Phd kabla yako hawezi kuwa Supervisor wako wa Phd? Who's myopic then?
 
Penye RED, Nilijua hilo ndilo linakukwaza na bora umelitolea ufafanuzi kuonesha ni kwa vipi unakwazika! Lakini JF inatoa option ya kubadili jina, unaweza jiita lolote na wewe, au lako la Kiranga uliitwa ndio ukalitumia?

Penye BLUE, hapa ndio nahisi kuna kutoelewana! Mimi sijasema watu wasiangalie market reaction, labda wewe unajaribu ku-argue academically! Nimefanya research ya hii kitu hadi naleta huu mjadala hapa Jamvini na ndio maana nikatoa mifano ya mikoa, kama hutaki siwezi kukulazimisha ukubaliane na research yangu! Na ndio maana nilimwambia ZeMarcopolo kwamba kama apartment cost of construction per square metre iko chini, iweje PSPF kule Shinyanga haikujenga apartments, PPF Kule Kiseke Mwanza haikujenga apartments, NSSF Kule Kinyerezi haikujenga apartments, TBA kule Boko haikujenga apartments au Mutual Developers kule Kigamboni haikujenga apartments?

Tatizo lako kubwa naona ni kwamba umejenga tabia ya kuchukua jibu halafu unalitengenezea swali.

PSPF, PPF, NSSF, TBA ni mashirika ambayo yanashauriwa na watu. Mpaka sasa hesabu zinaonyesha mashirika haya hayajakuwa yakifanya maamuzi mazuri kwenye investment. Ipo thread hapa inayojadili hilo kwa kirefu.

Argument yako hii ya kuanzia kwenye jibu imefanya assumption kwamba maamuzi yaliyofanywa na mashirika hayo ni sahihi, which is a huge mistake. Ukitaka kuonyesha mradi umeleta faida ongea numbers sio kusema kwavile aliyefanya ni NSSF, PSPF, PPF au TBA basi hayo ni maamuzi sahihi!

Do you have figure kuonyesha kuwa miradi hiyo imeleta faida zaidi kuliko iwapo ingekuwa maghorofa?
 
So basically.

This self appointed "ExpertBroker" starts theorizing about why should investors stop to build apartments in the "provinces".

Being the ever market pragmatists,I am telling this ExpertBroker "theorizing does not have the authority of the actual forces of the market, let investors be informed by the market".

And his retort is simply "stop theorizing". Forgetting with selective amnesia that he is the one theorizing.

This is the gist of the thread so far, minus the sometimes distracting details, if you don't have the time to go through all the posts.

I am sorry that you wrongly got me wrong Brother, have time to revisit my thread! Acha kasumba ya kusoma juujuuu ili ukimbilie kuongeza idadi ya comments na posts! Ni wapi nimesema watu wasijenge apartments mikoani?
 
Tatizo lako kubwa naona ni kwamba umejenga tabia ya kuchukua jibu halafu unalitengenezea swali.

PSPF, PPF, NSSF, TBA ni mashirika ambayo yanashauriwa na watu. Mpaka sasa hesabu zinaonyesha mashirika haya hayajakuwa yakifanya maamuzi mazuri kwenye investment. Ipo thread hapa inayojadili hilo kwa kirefu.

Argument yako hii ya kuanzia kwenye jibu imefanya assumption kwamba maamuzi yaliyofanywa na mashirika hayo ni sahihi, which is a huge mistake. Ukitaka kuonyesha mradi umeleta faida ongea numbers sio kusema kwavile aliyefanya ni NSSF, PSPF, PPF au TBA basi hayo ni maamuzi sahihi!

Do you have figure kuonyesha kuwa miradi hiyo imeleta faida zaidi kuliko iwapo ingekuwa maghorofa?

Who are the giant real estate investors to rely on, au unataka nilete mifano ya Marekani na Ulaya ndio nitakukuna vizuri! Tunaongelea Tanzania mkuu!
 
Back
Top Bottom